Point,Mwakyembe anawatafutia matatizo wanasheria wa serikali ......... maana watatakiwa kuileta ile mikataba ili ionekane nani alisaini. Wamesahau Mkapa aliitwa kutoa ushahidi kesi ya Mahalu!!
Hii kesi inaweza kuexpose badala ya kuficha ukweli!!
Labda wailelekeze Mahakama itupilie mbali hiyo kesi bila kuisikiliza!!
ngojea waende mahakamani.
Pia ni aibu kwa serikali hii kwa kuwalinda waharifu wa uchumi kwa kuangalia kinga ya wastafu (marais), hii inaonesha haya yanayofanywa na rais ni maigizo kwani wahusika wanajulikana lakini rais hataki waguswe kwa kuwa wanatoka nyumba moja ccm.
Kama kweli rais anania ya kweli, kinga ya kutoshtakiwa wastafu ifutwe ili ile kauli ya "all people are equal before the law " iwe ni ya kweli na siyo selective kwa wapinzani na maskini