REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Ni wakati sasa muanze kupambana kama ANC na Nelson Mandela. Anzeni kuzikaidi hizi amri za kijinga na kikaburu. Kaburu utamshinda kama tu utakaidi amri zake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda akisema mguu upande, mguu upende. Mguu sawa, mguu sawa. Hapa sio la Mwakyembe, mimi, wewe, Mawio au mwingine yeyote kujua kama wastaafu hawa wanahusika au la. Kama ulipitwa na matukio, hili ni agizo alilolitoa mwenye mamlaka ya mwisho ktk nchi hii, Amiri Jeshi mkuu ambae si mwengine bali ni Rais Magufuli siku alipokutana na M'kiti wa Barrick. Kwa hiyo Mwakyembe hapa kazi yake ni kuitekeleza agizo la Mkuu tena kwa spidi kali. Au unataka yamkute yaliyowakuta wale askari wa Bunge? Kwa ufafanuzi wa Rais ni kuwa yeye amekubaliana na kutoka amri kwa vyombo vyake husika vya dola kutekeleza mapendekezo yote kama yalivyopendekezwa na tume. Tusiongeze nukta wala kupunguza nukta. Mimi sijaipitia hiyo ripoti, lakini kutokana na rais ni kwamba maraisi wote wastaafu na mawaziri wote wastaafu hawakuhusishwa na tume zake. Labda mimi kwa ushauri wangu ni kwamba yeyote mwenye utafiti/ hoja au vielelezo vyovyote vinavyowahusisha wakuu hawa katika kashfa hii, wampelekee bwana mkubwa kwa uamuzi wake. Kinyume cha hapo unajipeleka mwenyewe kwenye mdomo wa mamba.Kwani yeye Mwakyembe ana uhakika gani kama Mkapa na Kikwete hawajahusika na jambo hili la kuibiwa kwa madini yetu?
Sasa huyo Lisu anangoja nini kwenda mahakamani?Tukutane mahakamani!!!!!!
Tundu lissu upande huu na mparuka nywele upande ule!!!
Mahakama itawaita hao wapumzishwa
Serikali mbona haijamchulia hatua chenge...ambaye alisema yeye si mjinga kwenda kusign...basi wengine wasihukumiwe maana wakisema walitumwa na raisi itakuwa kazi bureMbona adhabu ndogo? They deserved more than that oh my God only 24months? I can't believe!
Jana Mbona Imetoka taarifa ya Serikali ya Kuyakataza Magazeti Leo Tarehe 15.06.2017 wamekuja na Habari Zilizokatazwa? Mmmh! Tuheshimu Mamlaka!
View attachment 524518
Unawahimiza wenzio huku wewe umejificha?Ni wakati sasa muanze kupambana kama ANC na Nelson Mandela. Anzeni kuzikaidi hizi amri za kijinga na kikaburu. Kaburu utamshinda kama tu utakaidi amri zake.
Siyo chenge tena.... Muhariri tena wa gazeti....r.i.p my lovely countryMuhariri wa hilo gazeti ni muhaini...anafaa kunyongwa kabisa....
hatimae nimempata kirikou wa pili😀😀😀Hapa ndipo serikali inapokosea. Sababu iliyotumika kulifungia hili gazeti ni dhaifu mno.
Ulitaka alichekee, uwaambie hao mawio wenzio wachee uchocheziMwakyembe ana mihemko ya kitoto sana
IGPHi kufungiwa kwa miezi 24 nako ni kufutwa? i wish i could be................