Raisi si mwanasheria na si mtaalam wa sheria na kazi ya mikataba ni kwa ajili ya wanasheria na rais anategemea sana utaalam wa watu hao kulingana na viapo vyaoKama kweli Waheshimiwa Mkapa na Kikwete hawahusiki kwa moja kwa moja katika sakata hili la madini, Basi wahusishwe japo kwa uzembe (Negligence) iliyopelekea nchi kuingia katika mikataba yenye utata na hasara kubwa kwa nchi wakati wakiwa waajiriwa namba 1 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.