Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa kamili hii hapa

Screenshot_2024-08-29-01-46-21-1.png
 
Mwanahalisi ni kipeperushi cha uongo na uzushi tu.si ndio hicho hicho kilitumika kumchafua sana Hayati Edward lowassa halafu baadaye hicho hicho na watu wale wale wakaanza kumsafisha alipokuja kugombea Urais CHADEMA.shida yenu CHADEMA ni kuwa na akili za unyumbu na kushindwa kufikiri vizuri na kutumia akili katika kutizama na kuchambua Mambo . Mpo mpo tu utafikiri mmenyofolewa ubongo.
 
Jana nilikua arusha,kweli mkutano wa mama samia ulifurika.tanzania ni matajiri sana yale ma v8 niyabei kwa haraka niliyo hesabu nikama mia na usheik,niliongea na baadhi ya vijana wa arusha,flykechaaa,stend ya arusha moshi,boda boda kwakweli wamesema makonda katengeneza fursa sana kwenyw sekta ya utaliii.na wanamkubali,kuazia wakina mama wajisiria mali
 
Back
Top Bottom