Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
mwacheni makonda wa watu atoe kafara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucas Mwashambwa njoo huku jemedali wa siasa paulo makondaMkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2
Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unalo
Analala hotel gani? Kuna shida gani kwenye nyumba ya mkuu wa mkoa?Mkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2
Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unalo
Majungu tu hamna uhalisia kama hatumii hela ya serkali kuna shida gani?Mkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2
Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unalo
tupe mchanganuo, ila kama anatatua kero za watu hamna shida, hivi helcopta ya mbowe si inatumia hizo hela kwa saaMkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2
Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unalo
Makonda anatumiwa na Mama kwenye michongo yake hata juzi kati hapa bila shaka alikuwa maeneo anaseti mipango na karudi anawaka zaidi!jamaa hagusiki... nadhan ana siri za nchi zaidi ya siri ya mwenge...
Kajifunze kwanza kuandika mjinga wewe! Marahisi ndo kitu gana? Hahahha natania bwana!Hata kama anatumia laki 6 kwa siku moja bado ni ushetani.
Huyu kijana hawa marahis nadhani anawaweka mfukoni
MKuu tupe ufafanuzi wenye mantiki kuhusu iyo bajeti, anyway kama ni kweli basi hayo ni matumizi mabaya ya pesa za umma.Mkuu wa mkoa wa Arusha anayepigiwa chapuo kuwa Rais wa nchi huko mbeleni anaishi hotelini huko arusha na kila siku anatumia million 6 na laki 2
Sasa hapo hajapewa nchi akijapewa nchi itakuaje na katiba hii mbovu viongozi wa umma muwe na huruma kidogo sasa ukipiga million 6.2 mara 30 jibu unalo