Gazeti la Mwananchi acheni kupotosha umma. Chato bado ipo imara tokea Hayati Magufuli afariki dunia

Kutokana na abiria kuwa wachache wenye kutumia Uwanja wa Ndege wa Chato, gharama kwa abiria ni kubwa, ndio maana wapo ambao huamua kutumia Uwanja wa Ndege wa Mwanza, wengine Bukoba, kulingana na ukaribu wa anapoelekea kutokea uwanja wa ndege husika.
Huwa wanalipwa shingapi kwa huu uongo?

Geita (Chato) huwa tunaenda kwa 210,000 tu. Ukisema uzungukie Mwanza au Bukoba kama hauna 350,000 au 400,000 hauwezi kwenda na ndege.

Hivi mleta mada ameshawahi kusafiri na ndege hata mara moja, au ameamua kutunga uongo ili kutimiza azma yake!!?

Hii ni nauli ya kwenda Geita (Chato) tarehe 30.03.2023. Air Tanzania wanatoza TZS 209,600.00


Wakati tarehe hiyohiyo 30.03.2023 kwenda Mwanza ni TZS 355,300.00

Na kwenda Bukoba unalipa TZS 334,100.00 kwa tarehe hiyohiyo 30.03.2023
 
Tawi la crdb chato limefunguliw kipibdi Cha Magufuli?? Sio kweli, crdb walikua na tawi chato toka 2009, walichofanya ni kujenga tu eneo lao upya maana mwanzo walipanga
 
Ni uongo,crdb walikua na tawi chato tokea 2009, walichofanya kipindi Cha Magufuli ni kujenga jengo jipya wa wenyewe mwanzo walikua wamepanga.

Mwananchi huyo mwandishi ni kanjanja
 
Unaonejae angetengeneza mfumo wa kupeleka maendeleo kila kona ya nchi hii badala ya Rais kuliliwa kupeleka maendeleo kwenye kisehemu kimoja kimoja??
 
Umeme,maji ,afya ,barabara ni mahitaji ya Msingi...ila Kuna vitu vilipelekwa kishamba...Leo Kuna vijiji Geita ,hawana maji ,barabara vijijini ni changamoto...Uwanja wa ndege unawasaidia nn?!
 
Yaani unalinganisha Tanzania na Marekani?!
 
Kimei amewageuka wapiga kura wake kawaita wapenda magendo ataachaje kumgeuka Magufuli
 
Hizo computer generated invoices na siyo tickets.
Hil halithibitishi safari ya ndege kwenda kokote.
 
Pumbaf
 
Marehemu amezikwa na legacy yake
Watu wasingeacha kujadili anachokifanya Mama na kumjadili mtu ambaye keshazikwa na Legacy yake.JPM anaishi na nakukakilishia 2025 Mama atatumia miundo mbinu na kila kitu ameacha Magu kuombea kura.
 
Umesahau Dr Charles Kimei alijichanganya kwamba walisikiliza ushauri wa JPM ndio wakafungua Branch Chato ,watu tukahoji why wajenge branch kwa kusikiliza ushauri na si kwa kufuata vigezo/demand?
 
Tanzania inapoteza fedha nyingi sana kwenye ambitious projects.
Tatizo mnaviongozi wanafiki kabsaa na hawana uzalendo...sikia mimi ndo ningekuwa Raisi ningesifia kila alichokifanya mtangulizi wangu mana keshanipunguzia baadhi ya Majukumu.
Shida huyu Mama nae anapenda kujikweza Tangu anatoa hotuba ya kwanza anasema nataka kuwahakikishia aliyesimama hapa ni mwamke ila ni raisi wa Tanzania...Hapo nilishajua tu HAPA HATUNA KIONGOZI WA TAIFA ILA WA BAADHI YA WATU.
 
andiko la HOVYO tangu mwaka 2023 uanze 😎
 
Umeme,maji ,afya ,barabara ni mahitaji ya Msingi...ila Kuna vitu vilipelekwa kishamba...Leo Kuna vijiji Geita ,hawana maji ,barabara vijijini ni changamoto...Uwanja wa ndege unawasaidia nn?!
Kilia kitu kina mda wake mzee,chatimo swala la maji ilikuwa ninkugusa tu mana wamezungukwa na Ziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…