Gazeti la Mwananchi acheni kupotosha umma. Chato bado ipo imara tokea Hayati Magufuli afariki dunia

Umesahau Dr Charles Kimei alijichanganya kwamba walisikiliza ushauri wa JPM ndio wakafungua Branch Chato ,watu tukahoji why wajenge branch kwa kusikiliza ushauri na si kwa kufuata vigezo/demand?
Crdb chato? Wapo miaka mingi hao, Mimi nimewahi kwenda chato 2012 nilikuta wana branch huko. Labda hayo majengo ndio mapya
 
Magufuli anatukuzwa kwa ujinga alioufanya na wajinga wenzie aliowaacha
 

View: https://www.instagram.com/p/DG0IKyDi0Yi/?igsh=MXd0aGNhNzRyeGJkcA==
 
usemayo ni kweli ndugu, sisi tunaofika chato mara kwa mara ndio tunaojua ukweli, Chato iko KONKI.
 
usemayo ni kweli ndugu, sisi tunaofika chato mara kwa mara ndio tunaojua ukweli, Chato iko KONKI.
Chato ni takataka tu hakuna cha Konki wala kanku.

Mlikuwa mnapewa status ambayo hamstahili na Mungu akawaunbua
 
Magufuli haikuwa rais wa chato wewe jinga
Chato kulikuwa na mbunge wake na viongozi wengine
Vitu aliyofanya magufuli vya upendeleo kwenye Jimbo lake ulikuwa upumbavu mkubwa Sana

Laiti hata angefanya Geita mjini tungeona Nia ya dhati Ila kufanya nyumbani kwake kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…