Kwa siku za hivi karibuni kumwepo na jalada la kipande cha gazeti la mwananchi ambacho kinasomeka kuwa watazania wanaongoza kwa ujinga afrika
Ufuatiliji unaonesha kuwa Kichwa hicho cha Habari ni potofu hakina ukweli wowote na kinalenga kupotosha umma dhidi ya watanzania
Pia ufutailiaji zaidi umebainisha kuwa chombo cha Habari cha mwananchi kilichapisha chapisho rasmi kwenye mtandao wake wa Instagram siu ya tarehe 13 August 2024 kikiwa na Kichwa kinachosema Polisi ,chadema shughuli ngumu.
Katika ufuatilaji huo ulibanika kuwa Kichwa kikuu pekee ndicho kilibadilishwa; vichwa vidogo na picha zote ni sawa katika majalada yote mawili.
Katika hatua nyingine mnamo mwaka 2024 chombo cha Habari cha Mwananchi kilichapisha nukuu katika mitandao ya kijamii kukanusha uvumi huo nukuu kutoka mwananchi ” “Taarifa hii si ya kwetu, ipuuzwe. Picha ya gazeti la Mwananchi inayosambaa kwenye mitandaoni yenye kichwa cha habari ‘Watanzania waongoza kwa ujinga Afrika’ kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) hatuhusiki nayo na wala haikuchapisha habari hiyo,” gazeti la Mwananchi lilionya.
Gazeti hilo liliongeza kwamba, “Picha ya gazeti hilo linalosambaa mitandaoni limehaririwa kidijitali kwa nia ovu, kwani gazeti halisi lilichapishwa Agosti 13, 2024 huku habari kubwa ikiwa ‘Polisi, Chadema shughuli ngumu’.”

- Tunachokijua
- Kwa siku za hivi karibuni kumwepo na jalada la kipande cha gazeti la mwananchi ambacho kinasomeka kuwa watazania wanaongoza kwa ujinga afrika
Ufuatiliji unaonesha kuwa Kichwa hicho cha Habari ni potofu hakina ukweli wowote na kinalenga kupotosha umma dhidi ya watanzania
Pia ufutailiaji zaidi umebainisha kuwa chombo cha Habari cha mwananchi kilichapisha chapisho rasmi kwenye mtandao wake wa Instagram siu ya tarehe 13 August 2024 kikiwa na Kichwa kinachosema Polisi ,chadema shughuli ngumu.
Katika ufuatilaji huo ulibanika kuwa Kichwa kikuu pekee ndicho kilibadilishwa; vichwa vidogo na picha zote ni sawa katika majalada yote mawili.
Katika hatua nyingine mnamo mwaka 2024 chombo cha Habari cha Mwananchi kilichapisha nukuu katika mitandao ya kijamii kukanusha uvumi huo nukuu kutoka mwananchi ”.
“Taarifa hii si ya kwetu, ipuuzwe. Picha ya gazeti la Mwananchi inayosambaa kwenye mitandaoni yenye kichwa cha habari ‘Watanzania waongoza kwa ujinga Afrika’ kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) hatuhusiki nayo na wala haikuchapisha habari hiyo,” gazeti la Mwananchi lilionya.