Gazeti la Mwananchi limeongopa, Aliyemtishia Nape bastola sio mmoja wa waliokamatwa Mtwara

Umeanza kuelewa Sasa, Henry ni deiwaka. Ila ngumi anapiga kweli tena sana
Hata nashangaa toka lini Henry akapata cheo cha urakibu wa police.
Gazeti limedanganya gilbert kalanje sie Henry

Anajulikana wala sio kwamba hajulikani. Mwananchi wamemkosea Gilbert kwa kumfananisha na Henry. Japo Gilbert hili suala la mauaji limemchafua sana ila ni moja ya polisi wazuri, ni mzee mwenye busara zake
Ana busara gani wakati mwuaji? Au unadhani aliua kwa bahati mbaya
 
Ana busara gani wakati mwuaji? Au unadhani aliua kwa bahati mbaya
Unajua kuna muda matukio yanatokea hadi mwenyewe unashangaa, Ila ndio binadamu walivyo. Huenda tamaa zilizidi, Ila kidogo anajitajidi tofauti na wengine
 
Anajulikana wala sio kwamba hajulikani. Mwananchi wamemkosea Gilbert kwa kumfananisha na Henry. Japo Gilbert hili suala la mauaji limemchafua sana ila ni moja ya polisi wazuri, ni mzee mwenye busara zake
Gilbert ni MZEE??
 
Unajua kuna muda matukio yanatokea hadi mwenyewe unashangaa, Ila ndio binadamu walivyo. Huenda tamaa zilizidi, Ila kidogo anajitajidi tofauti na wengine
Mkuu huyo Gilbert anajulikana sana kwa kutesa watu akishirikiana ONYANGO. Watu wameporwa mali nyingi kwa kusingiziwa kesi z ugaidi.
 
Ukiacha kutofanana, huyo hawezi kuwa na cheo chochote polisi. Zamani tulikua tunajua ni FFU, Ila hajawahi kuonekana na gwanda
So ni kama polisi Jamii but naona aliaminiwa hadi kuwa escot Chadema mahakamani.
Ndo uzuri wa teknolojia utunza ushahidi milele

Acha upumbavu ile ilikua diversion mission iliyofanikiwa zaidi. Henry wala hakuhusika ila alitumiwa kuficha ukweli wa swala lile.

Kama hujui mambo wala usihangaike
 
Acha upumbavu ile ilikua diversion mission iliyofanikiwa zaidi. Henry wala hakuhusika ila alitumiwa kuficha ukweli wa swala lile.

Kama hujui mambo wala usihangaike
Sijakuelewa na huenda pia hujanielewa. Hebu fafanua tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…