Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Hata nashangaa toka lini Henry akapata cheo cha urakibu wa police.Umeanza kuelewa Sasa, Henry ni deiwaka. Ila ngumi anapiga kweli tena sana
Gazeti limedanganya gilbert kalanje sie Henry
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata nashangaa toka lini Henry akapata cheo cha urakibu wa police.Umeanza kuelewa Sasa, Henry ni deiwaka. Ila ngumi anapiga kweli tena sana
Ana busara gani wakati mwuaji? Au unadhani aliua kwa bahati mbayaAnajulikana wala sio kwamba hajulikani. Mwananchi wamemkosea Gilbert kwa kumfananisha na Henry. Japo Gilbert hili suala la mauaji limemchafua sana ila ni moja ya polisi wazuri, ni mzee mwenye busara zake
Huyo ndio mwenyewe sasa, ngumi jiweHata nashangaa toka lini Henry akapata cheo cha urakibu wa police.
Gazeti limedanganya gilbert kalanje sie Henry
View attachment 2098622
View attachment 2098623
View attachment 2098624
View attachment 2098625
View attachment 2098626
View attachment 2098627
View attachment 2098628
View attachment 2098629
Gilbert ni MZEE??Anajulikana wala sio kwamba hajulikani. Mwananchi wamemkosea Gilbert kwa kumfananisha na Henry. Japo Gilbert hili suala la mauaji limemchafua sana ila ni moja ya polisi wazuri, ni mzee mwenye busara zake
Mkuu huyo Gilbert anajulikana sana kwa kutesa watu akishirikiana ONYANGO. Watu wameporwa mali nyingi kwa kusingiziwa kesi z ugaidi.Unajua kuna muda matukio yanatokea hadi mwenyewe unashangaa, Ila ndio binadamu walivyo. Huenda tamaa zilizidi, Ila kidogo anajitajidi tofauti na wengine
So ni kama polisi Jamii but naona aliaminiwa hadi kuwa escot Chadema mahakamani.Ukiacha kutofanana, huyo hawezi kuwa na cheo chochote polisi. Zamani tulikua tunajua ni FFU, Ila hajawahi kuonekana na gwanda
Mkuu kwahiyo hakuna MAUAJI huko Mtwara.?? We ni KOOMER.Gazeti la majungujungu tu halina ukweli wowote
Wewe unaweza escot watuhumiwa mahakani kama si Askari??????So ni kama polisi Jamii but naona aliaminiwa hadi kuwa escot Chadema mahakamani.
Ndo uzuri wa teknolojia utunza ushahidi mileleView attachment 2098661
View attachment 2098657
View attachment 2098658
View attachment 2098659
Kwa amri ya bashite anawezaWewe unaweza escot watuhumiwa mahakani kama si Askari??????
Ni deiwakaSo ni kama polisi Jamii but naona aliaminiwa hadi kuwa escot Chadema mahakamani.
Ndo uzuri wa teknolojia utunza ushahidi mileleView attachment 2098661
View attachment 2098657
View attachment 2098658
View attachment 2098659
Ilikuwaje akapewa Kazi ya kuescort watuhumiwa mahakamani hali si askari.Ni deiwaka
Zama zile iliwezekanaWewe unaweza escot watuhumiwa mahakani kama si Askari??????
Acha upumbavu ile ilikua diversion mission iliyofanikiwa zaidi. Henry wala hakuhusika ila alitumiwa kuficha ukweli wa swala lile.Gazeti la mwananchi limeandika Aliyemtishia Nape bastola apandishwa kizimbani kwa makosa ya mauaji huko Mtwara.
Hii sio kweli, gazeti hili limeweka picha ya afande Gilbert na kuonyesha ndiye aliyemtishia Nape bastola.
Gilbert Kalanje ni SP wa police(mrakibu), wale wenye mwenge mmoja begani. Henry hajawahi kuwa na cheo hiki.
Aliyemtishia Nape sio huyo aliyeripotiwa na gazeti la mwananchi.
Sijajua kwa nini wamekosea hii taarifa, Henry Kisanduku hana uhusiano wowote na Gilbert Kalanje.
View attachment 2098332