Gazeti la Mwananchi lina ubia na Januari Makamba?

1. Mtoa mada kilikuzuia nn kushangaa na kuhoji hayo magazeti mengine meengi yasiyomuandika ukakimbilia kwenye hilo moja tu lililomwandika km ulivyoweka bayana katika maelezo yako?!!!!

2. Ilibidi Mwananchi limuandike nani ili ufurahi?!!!!

3. Soma comment #9, itakusaidia kupata afya ya akili na mwili.
 
Pesa yako tu brother utawekwa popote unapotaka kwenye page ya gazeti
 
Magovinda ya Kisumagang hayakosi cha kuongea Karamagi alipokuwa anapewa coverage hawakubweka!
 
Gazeti ni la kibiashara na wao kama wafanyabiashara wapo kimaslai, waziri atakuwa kalipia front page na kapewa mwandishi anazunguka naye.

Hivyo vitu vya kawaida sana, kikubwa habari yake itoke front tu basi, hiyo ndiyo njia tunasema "penye udhia penyeza ..."
 
Kwani kuna shida au wewe unateseka akiandikwa ukurasa wa mbele? Ulitaka aandikwe nani?Gazeti la Mwananchi

Mwananchi ni wajinga wanaotetea uvunjwaji wa sheria unaofanywa na Makamba.

Mfano. ni Sheria ya Ushindani 2003.
Kampeni ya kuhamasisha matumizi ya nishati mbadala ni muhimu hata kama ingefanywa na shetani ni ya kuungwa mkono. Mwananchi sio wajinga waandike habari ambazo haziuzi gazeti hasa ukichukulia kuwa sio la serikali. Bila shaka wamegundua kuwa habari za Januari zinauzika au kuongeza mauzo, vinginevyo Wanaopaswa kulalamika ni wenye hisa sio wasomaji. Sisi wengine kama hatupendi habari zao, kuna magazeti mengi sana.
 
Mhe. Makamba alichagua waandishi wa habari kutoka media chache kubwa ameambatana nao. Kwa mfano kws upande wa ITV yupo Benjamin Mzinga, kila siku lazima taarifa ya ziara yake ipewe airtime.
Kiujumla Mhe. Makamba amejipanga.
Bado kuna mambo ya kujiuliza sana tunaongea kishabiki tu humu lakini nimeangalia ziara ya Waziri Mkuu akiwa Singida Taarifa inaripotiwa na Elisante Mkumbo wa ITV SIngida hata Makamu wa Rais alipokuwa Moshi jana taarifa yake imeripotiwa na Ripota wa ITV Moshi, Fadhila Omari. Inaamana mnataka kutuambia Makamba ni Kiongozi mkubwa zaidi kuliko Waziri Mkuu na Makamu wa Rais ndio maana yeye anatembea na kundi la waandishi Special kutoka Dar
 
Swali zuri lingekuwa, "Je Serikali ina Ubia na Gazeti la Mwananchi?"
Mh.Makamba kama mwanasiasa anaruhusiwa kuwa na biashara, Hisa

katika biashara yoyote halali
 
Wacha ajitangaze tu lakini Raia hawana time nae.
 
Mkuu mimi sina majibu ya hoja yako. Kimsingi kiongozi yeyote anapokuwa kwenye ziara huwa taarifa yake inatolewa na mwandishi wa habari wa eneo husika. Lakini hiyo ni tofauti kwa Mhe. Makamba tangu aanze ziara yake yupo na Benjamin Mzinga.
Ili kuamini tafadhali leo saa 2 sogelea runinga yako wakati wa taarifa ya habari ya ITV utamsikia akiripoti taarifa ya Mhe. Makamba sehemu alipo leo.
 
Basi yatakuwa yanaandika habari za mumeo tu dada
 
ITV Super Brand Africa Mashariki imekubali chini ya Makamba kweli R.I.P Dk Reginald Mengi mtetezi wa wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…