Kweli ITV imekufa siku hizi kutoka kuwa chombo namba moja kinachosimamia masilahi ya wananchi wanyonge hadi kuwa chombo cha mtu tofauti na ilivyokuwa kabla ya kufariki kwa Mwasisi wake Dk. Reginald Abraham Mengi sasa hivi kinaruhusu hadi mwandishi wake wa Makao Makuu kutembea na Waziri mmoja ilihali mikoani kote wako wawakilishi wake. Mengi akifufuka leo akaikuta ITV yake ya wananchi inavyochezewa atalia machoziITV Super Brand Africa Mashariki imekubali chini ya Makamba kweli R.I.P Dk Reginald Mengi mtetezi wa wanyonge