Gazeti la Mwananchi lina ubia na Januari Makamba?

Gazeti la Mwananchi lina ubia na Januari Makamba?

Itoshe tu kusema hii nchi ina watu wana nongwa saaana. Watu wanamchukia January kisa katoka familia yenye unafuu wa maisha na yeye mwenyewe ana ushawishi. Hatuwezi kua sawa dunia hii mwacheni jamaa afanye kazi
Chuki sio kwa maisha yake, hajui kazi mbabaishaji tuu, na alipotokea wana maisha ya kawaida sana
 
Nchi hii bana waziri anaejimilikisha uwezo wa kutoa msamaha kwa walipa kodi mahiri na matozo yasio na kichwa wala miguu mnamuona yupo sahihi kabisa...
 
Back
Top Bottom