Gazeti la Mwananchi lina ubia na Januari Makamba?

ITV Super Brand Africa Mashariki imekubali chini ya Makamba kweli R.I.P Dk Reginald Mengi mtetezi wa wanyonge
Kweli ITV imekufa siku hizi kutoka kuwa chombo namba moja kinachosimamia masilahi ya wananchi wanyonge hadi kuwa chombo cha mtu tofauti na ilivyokuwa kabla ya kufariki kwa Mwasisi wake Dk. Reginald Abraham Mengi sasa hivi kinaruhusu hadi mwandishi wake wa Makao Makuu kutembea na Waziri mmoja ilihali mikoani kote wako wawakilishi wake. Mengi akifufuka leo akaikuta ITV yake ya wananchi inavyochezewa atalia machozi
 
Sasa Kama inakukera mkuu siungefungua case kabisa?! Yaan utaki waziri ziara yake itangazwe kwenye vyombo vya habari?
 
Sukuma gang mna chuki na Makamba
 
Sasa Kama inakukera mkuu siungefungua case kabisa?! Yaan utaki waziri ziara yake itangazwe kwenye vyombo vya habari?
Mbona umeniandama mkuu, wapi nimesema sitaki habari zake zitangazwe! Mimi nimempongeza kwa namna alivyojipanga kuhakikisha anapata airtime hapo ITV.
 
Mhe. Makamba alichagua waandishi wa habari kutoka media chache kubwa ameambatana nao. Kwa mfano kws upande wa ITV yupo Benjamin Mzinga, kila siku lazima taarifa ya ziara yake ipewe airtime.
Kiujumla Mhe. Makamba amejipanga.
Kajipanga nini
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Unafahamu maana ya neno Koneksheni ?
 
Makamba anafanya jambo la maana sana kuweka jitihada ya kuamia kwenye gesi badala ya mkaa.
 
Huyo jamaa anajitutumua sana.

Anadhani kunyoa kipara na kukunja mashati ndio kuwa na akili.

Anajichoresha mno.
Mwenzio Waziri!, We mdangaji, huoni Kama hampo sawa dada
 
Itoshe tu kusema hii nchi ina watu wana nongwa saaana. Watu wanamchukia January kisa katoka familia yenye unafuu wa maisha na yeye mwenyewe ana ushawishi. Hatuwezi kua sawa dunia hii mwacheni jamaa afanye kazi
 
Kabla ya ziara ya hiyo miko 14 mimi pia nilijuiza swala kama hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…