M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 3,504 Reaction score 6,809 Jul 20, 2022 #61 The Sunk Cost Fallacy said: Kwani kuna shida au wewe unateseka akiandikwa ukurasa wa mbele? Ulitaka aandikwe nani? Click to expand... Wewe chawa kila akitajwa Makamba lazima ufoke, hope unalipwa vizuri
The Sunk Cost Fallacy said: Kwani kuna shida au wewe unateseka akiandikwa ukurasa wa mbele? Ulitaka aandikwe nani? Click to expand... Wewe chawa kila akitajwa Makamba lazima ufoke, hope unalipwa vizuri
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Jul 20, 2022 #62 Matawi ya juu said: Wewe chawa kila akitajwa Makamba lazima ufoke, hope unalipwa vizuri Click to expand... Sana na nyie aliwala akawatelekeza nini maana mkiona tuu Makamba lazima mje kuwashwa jukwaani.
Matawi ya juu said: Wewe chawa kila akitajwa Makamba lazima ufoke, hope unalipwa vizuri Click to expand... Sana na nyie aliwala akawatelekeza nini maana mkiona tuu Makamba lazima mje kuwashwa jukwaani.
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 3,504 Reaction score 6,809 Jul 20, 2022 #63 kiroka said: Itoshe tu kusema hii nchi ina watu wana nongwa saaana. Watu wanamchukia January kisa katoka familia yenye unafuu wa maisha na yeye mwenyewe ana ushawishi. Hatuwezi kua sawa dunia hii mwacheni jamaa afanye kazi Click to expand... Chuki sio kwa maisha yake, hajui kazi mbabaishaji tuu, na alipotokea wana maisha ya kawaida sana
kiroka said: Itoshe tu kusema hii nchi ina watu wana nongwa saaana. Watu wanamchukia January kisa katoka familia yenye unafuu wa maisha na yeye mwenyewe ana ushawishi. Hatuwezi kua sawa dunia hii mwacheni jamaa afanye kazi Click to expand... Chuki sio kwa maisha yake, hajui kazi mbabaishaji tuu, na alipotokea wana maisha ya kawaida sana
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 17,080 Reaction score 33,076 Jul 20, 2022 #64 Nchi hii bana waziri anaejimilikisha uwezo wa kutoa msamaha kwa walipa kodi mahiri na matozo yasio na kichwa wala miguu mnamuona yupo sahihi kabisa...
Nchi hii bana waziri anaejimilikisha uwezo wa kutoa msamaha kwa walipa kodi mahiri na matozo yasio na kichwa wala miguu mnamuona yupo sahihi kabisa...
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jul 20, 2022 #65 dinongo said: Mwenzio Waziri!, We mdangaji, huoni Kama hampo sawa dada Click to expand... Jamaa yeye kachagua kudanga kwenye siasa huoni matangazo yake kwenye magazeti??
dinongo said: Mwenzio Waziri!, We mdangaji, huoni Kama hampo sawa dada Click to expand... Jamaa yeye kachagua kudanga kwenye siasa huoni matangazo yake kwenye magazeti??