Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikasirike, mko wengi mlipenda uwanja wa ndege wa kimataifa.Umewahi kuwa hewa wewe? Au unaongea upumbavu tu hapa
Nimekuuliza swali! Wewe umewahi kuwa miongoni mwa abiria hewa wa chatto?Usikasirike, mko wengi mlipenda uwanja wa ndege wa kimataifa.
Sasa ndo wakati wa kutumia xile nyungo zenu.
Kwa ungo, Dar-Geita dk 3, mizigo inafuata na ungo freighter!
Mkuu ni lini ndege ilitua chato ? hata ndege za Wachawi hazitui uwanja uleSijui wanapata faida gani kupambana na mtu aliyefariki miaka miwili iliyopita[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulisikia wapi?...hata ndege za Wachawi hazitui uwanja ule
Unamaanisha hii au?Nimekujibu kwenye andiko langu.
Wewe unakuja na blah blah za app na mitandaoni lakini hataki kukubali uhalisia. Nimekwambia kwa sasa hakuna ndege ya abiria inayotua Chato kwa sababu abiria hakuna na ATCL hawana ndege za kutosha.
Kama huamini hayo fanya haya:
-Onyesha orodha ya ndege zilizotua Chato siku za karibuni.
-Fanya booking leo ili kesho usafiri kuja Chato kama unadhani hiyo route iko active.
Wahusika gani wanasema wamesitisha wakati ndege inaenda kila week mara mbili - Alhamisi na Jumamosi?Mleta mada nawe wale wale.
Wewe unakuja na screenshots za app ya kununua tiketi, wakati kiuhalisia huwezi kununua tiketi au kusafiri kwa sasa kwenda Chato kwa ATCL.
Sababu za msingi ziko wazi na very logical. Wahusika wamesema safari zimesitishwa maana hakuna wasafiri wa kutosha wa kwenda Chato, ATCL ambayo ndio kampuni pekee iliyokuwa inafanya safari zake Chato kwa sasa wana ndege chache zinazofanya kazi na uhuhitaji sehemu zingine zenye wasafiri ni mkubwa zaidi kuliko Chato.
Kipi cha ajabu?
Kipi kipya?
Achana nao ,wao badala wapambane na bandari wapo busy na chato...Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua!
Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege!
Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya twitter.
View attachment 2699906
Bado nikaamua niende kufanya booking nione, nikakuta kuna ndege ya kesho tarehe 27! Bado nawaza story ileile mara ya 2 inaibuka Mwananchi mdani ya mwaka mmoja! Mwananchi kulikoni?
View attachment 2699912
View attachment 2699915View attachment 2700096
Acha upotoshaji wewe , watu wanaanika dagaa uwanjani unataka kudanganya kwa faida ya nani ?
Uwanja wa Arusha una ndege 24hrs mnaenda kujenga uwanja chato? Taahira yule na mwehu mkubwa Sana!Watu wazima bado wanashindana na aliyefaliki na wakamzika,
inafikirisha sana.
Hapo umefanya Booking ya Geita. Uwanja wa Geita upo siku zote. Ndege inaenda mara moja kwa Wiki.Ni mara ha pili jana ndani ya mwaka huu gazeti la mwananchi linalefa habari ileile kuhusu uwanja wa ndege wa Chato kutokuwa na ndege hata moja inayotua!
Story ni ileile na wanakazia ata ukienda kufanya booking hukuti ndege!
Tangazo la ATCL siku 5 zilizopita hili hapa kutoka account yao ya twitter.
View attachment 2699906
Bado nikaamua niende kufanya booking nione, nikakuta kuna ndege ya kesho tarehe 27! Bado nawaza story ileile mara ya 2 inaibuka Mwananchi mdani ya mwaka mmoja! Mwananchi kulikoni?
View attachment 2699912
View attachment 2699915View attachment 2700096
Mwananchi linamilikiwa na media ya kenya, znz leo nafikiri ni la serikali ya znzHivi, naomba kufahamu, gazeti la mwananchi linamilikiwa na nani, na hili la zanziberleo linamilikiwa na nan?. (nayapenda kuyasoma, natamani kuelewa zaidi pia.)
Unaelewa unachokiongea kweli?Hapo umefanya Booking ya Geita. Uwanja wa Geita upo siku zote. Ndege inaenda mara moja kwa Wiki.
Tunaomba ufanye Booking ya Chato.
Kuna Uwanja wa Geita na Uwanja wa Chato. Wewe unajadili Uwanja wa Geita ila Mwananchi wamwzungumzia Uwanja Chato.
Tunaomba hata picha ya Tiketi ya Chato.
View attachment 2700125
*Arusha to Geita km 790+ hutaki kuwe na uwanja wa NdegeUwanja wa Arusha una ndege 24hrs mnaenda kujenga uwanja chato? Taahira yule na mwehu mkubwa Sana!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hivi kumbe ni miwili tu?? Yani najihisi kama kumi imepitaSijui wanapata faida gani kupambana na mtu aliyefariki miaka miwili iliyopita🤣🤣🤣