Gazeti la Mwananchi linaongopa kuhusu uwanja wa ndege wa Chato

Gazeti la Mwananchi linaongopa kuhusu uwanja wa ndege wa Chato

Hapo umefanya Booking ya Geita. Uwanja wa Geita upo siku zote. Ndege inaenda mara moja kwa Wiki.

Tunaomba ufanye Booking ya Chato.

Kuna Uwanja wa Geita na Uwanja wa Chato. Wewe unajadili Uwanja wa Geita ila Mwananchi wamwzungumzia Uwanja Chato.

Tunaomba hata picha ya Tiketi ya Chato.
View attachment 2700125
Mpinzire njoo hapa ujibu
 
Mpinzire njoo hapa ujibu

Mpinzire Hamna Ndege Geita, wala Chato

Booking.png
 
Kama hawapandi basi ianzishwe semina elekezi kwa wanageita, namna ya kufaidika kwa kupanda ndege inayoshukiq chato intaneshinali.
 
Duh!
Yaani mnakuja hapa kifua mbele kabisa kusema ndege ipo once a week!
Gharama zote zilizotumika leo mnajisifu kwa kindege kimoja weekly.
Hapo nimetaja ATCL bado zipo zile za kukodi za watalii wanaoenda mbungani. Tumia akili kidogo mkuu ulizopewa na Mungu. Pia ujue nilikuwa na mjibu mleta uzi alieyezungumzia specific ATCL.
 
Nimekujibu kwenye andiko langu.
Wewe unakuja na blah blah za app na mitandaoni lakini hataki kukubali uhalisia. Nimekwambia kwa sasa hakuna ndege ya abiria inayotua Chato kwa sababu abiria hakuna na ATCL hawana ndege za kutosha.

Kama huamini hayo fanya haya:
-Onyesha orodha ya ndege zilizotua Chato siku za karibuni.
-Fanya booking leo ili kesho usafiri kuja Chato kama unadhani hiyo route iko active.
Acha uongo halafu wewe unapata faida gani kusema uongo? Mimi nimesafiri na ndege hiyo Alhamisi iliyopita pia leo imeenda hata basi google Flight TC131 ili uwe na uhakika. Wewe unafikiri sisi wauza madini tunasafiri na nini toka Geita pia uelewe uwanja unaitwa Geita siyo Chato ila upo eneo la Chato.
 
Duh!
Yaani mnakuja hapa kifua mbele kabisa kusema ndege ipo once a week!
Gharama zote zilizotumika leo mnajisifu kwa kindege kimoja weekly.
Kuna gharama gani ilitumika chato ni tofauti na kiwanja cha karagwe au Kongwa?
 
Hapo nimetaja ATCL bado zipo zile za kukodi za watalii wanaoenda mbungani. Tumia akili kidogo mkuu ulizopewa na Mungu. Pia ujue nilikuwa na mjibu mleta uzi alieyezungumzia specific ATCL.
Watalii wanaoshukia mbuga ipi
 
Usikasirike, mko wengi mlipenda uwanja wa ndege wa kimataifa.
Sasa ndo wakati wa kutumia xile nyungo zenu.
Kwa ungo, Dar-Geita dk 3, mizigo inafuata na ungo freighter!
Mnapenda umaskin sn nyiny , uwanj gan uwe wa kimataifa au alipoweka vioo ndo mkaona ndo umataifa huo ?ila alipoweka stend ya Mbez mwisho hamkulalama. Kafanya meng sana hamuez pongeza ila kujenga airport imekuwa ttzo
images.jpg
images%20(5).jpg
download.jpg
images%20(1).jpg
 
Mnapenda umaskin sn nyiny , uwanj gan uwe wa kimataifa au alipoweka vioo ndo mkaona ndo umataifa huo ?ila alipoweka stend ya Mbez mwisho hamkulalama. Kafanya meng sana hamuez pongeza ila kujenga airport imekuwa ttzo View attachment 27008347View attachment 2700847View attachment 2700846View attachment 2700848
Mkuu mbona hiyo International Airport ilimtosha mwenyewe tu Mwendazake.
Nyie kina yakhe size yenu mabasi mabasi hadi Mwanza.
Mgekuwa na hela mgejaza ndege full, mara tatu au nne kwa wiki.

Hata hivyo nasikia mwautumia vizuri uwanja kwa kuanika nguo na mazao, si haba.
 
Back
Top Bottom