Gazeti la Mwananchi linaongopa kuhusu uwanja wa ndege wa Chato

Usikasirike, mko wengi mlipenda uwanja wa ndege wa kimataifa.
Sasa ndo wakati wa kutumia xile nyungo zenu.
Kwa ungo, Dar-Geita dk 3, mizigo inafuata na ungo freighter!
Nimekuuliza swali! Wewe umewahi kuwa miongoni mwa abiria hewa wa chatto?
 
Unamaanisha hii au?
 
Wahusika gani wanasema wamesitisha wakati ndege inaenda kila week mara mbili - Alhamisi na Jumamosi?
 
Achana nao ,wao badala wapambane na bandari wapo busy na chato...
 
Hapo umefanya Booking ya Geita. Uwanja wa Geita upo siku zote. Ndege inaenda mara moja kwa Wiki.

Tunaomba ufanye Booking ya Chato.

Kuna Uwanja wa Geita na Uwanja wa Chato. Wewe unajadili Uwanja wa Geita ila Mwananchi wamwzungumzia Uwanja Chato.

Tunaomba hata picha ya Tiketi ya Chato.
 
Wale walishajifia, juzi nimeona wanasema waandishi wao wameshambuliwa na gari kuharibiwa, gari yenyewe noah imechoka imekongoroka, hata millard anawashinda, ile gari ikikugusa usipopata kansa basi tetenasi utakuua.

Gazeti hawalipi mishahara kwa miezi hadi 4.

Legacy media zilishajifia, ni kifo cha punda, anarusha mateke mara moja moja ya mwisho mwisho
 
Hivi, naomba kufahamu, gazeti la mwananchi linamilikiwa na nani, na hili la zanziberleo linamilikiwa na nan?. (nayapenda kuyasoma, natamani kuelewa zaidi pia.)
 
Hivi, naomba kufahamu, gazeti la mwananchi linamilikiwa na nani, na hili la zanziberleo linamilikiwa na nan?. (nayapenda kuyasoma, natamani kuelewa zaidi pia.)
Mwananchi linamilikiwa na media ya kenya, znz leo nafikiri ni la serikali ya znz
 
Mwananchi ni wapuuzi tu na ni wa kupuuzwa.lengo lao ni ili ionekane magufuli alikosea kujenga uwanja kama vile huko ni nje ya Tanzania.
 
Unaelewa unachokiongea kweli?
 
Uwanja wa Arusha una ndege 24hrs mnaenda kujenga uwanja chato? Taahira yule na mwehu mkubwa Sana!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
*Arusha to Geita km 790+ hutaki kuwe na uwanja wa Ndege

* Dar to Mtwara Km 560+ kote kuna uwanja wa ndege na inafanya kazi

*Dar to Dodoma Km 560+ kote kuna uwanja wa ndege sasa sijui unamaanisha kuwa kukiwa na uwanja wa ndege point a basi mkoa mwingine usiwepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…