Gazeti la Mwananchi linaongopa kuhusu uwanja wa ndege wa Chato

Mpinzire njoo hapa ujibu
 
Kama hawapandi basi ianzishwe semina elekezi kwa wanageita, namna ya kufaidika kwa kupanda ndege inayoshukiq chato intaneshinali.
 
Duh!
Yaani mnakuja hapa kifua mbele kabisa kusema ndege ipo once a week!
Gharama zote zilizotumika leo mnajisifu kwa kindege kimoja weekly.
Hapo nimetaja ATCL bado zipo zile za kukodi za watalii wanaoenda mbungani. Tumia akili kidogo mkuu ulizopewa na Mungu. Pia ujue nilikuwa na mjibu mleta uzi alieyezungumzia specific ATCL.
 
Acha uongo halafu wewe unapata faida gani kusema uongo? Mimi nimesafiri na ndege hiyo Alhamisi iliyopita pia leo imeenda hata basi google Flight TC131 ili uwe na uhakika. Wewe unafikiri sisi wauza madini tunasafiri na nini toka Geita pia uelewe uwanja unaitwa Geita siyo Chato ila upo eneo la Chato.
 
Duh!
Yaani mnakuja hapa kifua mbele kabisa kusema ndege ipo once a week!
Gharama zote zilizotumika leo mnajisifu kwa kindege kimoja weekly.
Kuna gharama gani ilitumika chato ni tofauti na kiwanja cha karagwe au Kongwa?
 
Hapo nimetaja ATCL bado zipo zile za kukodi za watalii wanaoenda mbungani. Tumia akili kidogo mkuu ulizopewa na Mungu. Pia ujue nilikuwa na mjibu mleta uzi alieyezungumzia specific ATCL.
Watalii wanaoshukia mbuga ipi
 
Usikasirike, mko wengi mlipenda uwanja wa ndege wa kimataifa.
Sasa ndo wakati wa kutumia xile nyungo zenu.
Kwa ungo, Dar-Geita dk 3, mizigo inafuata na ungo freighter!
Mnapenda umaskin sn nyiny , uwanj gan uwe wa kimataifa au alipoweka vioo ndo mkaona ndo umataifa huo ?ila alipoweka stend ya Mbez mwisho hamkulalama. Kafanya meng sana hamuez pongeza ila kujenga airport imekuwa ttzo
 
Mkuu mbona hiyo International Airport ilimtosha mwenyewe tu Mwendazake.
Nyie kina yakhe size yenu mabasi mabasi hadi Mwanza.
Mgekuwa na hela mgejaza ndege full, mara tatu au nne kwa wiki.

Hata hivyo nasikia mwautumia vizuri uwanja kwa kuanika nguo na mazao, si haba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…