Tetesi: Gazeti la Mwananchi lipo hatarini kupigwa BAN na serikali

Tetesi: Gazeti la Mwananchi lipo hatarini kupigwa BAN na serikali

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,623
Reaction score
8,442
Wakuu
Kuna mdau mmoja ndani ya mwananchi communication Ltd (MCL) kanidokezea gazeti la Mwananchi nalo lipo hatarini kufungiwa

Ngoja tusubiri ukizingatia Jana wametoa habari ya kuongezeka kwa deni la taifa kitu ambacho Mzee wa Uongo hapendi kiwekwe wazi.
 
Mzee wa uongo ndo nani??
 
Wapigwe BAN tuu. Kwa nini wanatufadhaisha sisi walala hoi?? Deni hilo limeongezeka kwa sababu gani wakati tumewagundua wafanyakazi hewa, madeni hewa, likizo hewa na uzazi hewa?? Wapiga dili hewa?? Fedha yote tuliyoiponya huko si tutafidia madeni? Litaongezekaje?
 
NITAANZISHA GAZETI LANGU NA VICHWA HABARI VITAKUWA HV

1. ACACIA WASALIMU AMRI KWA TINGATINGA
2. USA WAOMBA MKOPO TZ
3. 80% YA WATZ WATAKA JPM AONGOZE MPAKA AZEEKE KAMA MUGABE
4. SHULE ZA KATA ZASHKA TOP TEN MATOKEO YA FORM 4
5. WANAFUNZ WOTE WA ELIMU YA JUU WAPATA MIKOPO
6. DENI LATAIFA LIMEISHA

Note:
Kama tu nakala zote zitanunuliwa na utawala, vinginevyo hasara tupu.
 
Wakuu
Kuna mdau mmoja ndani ya mwananchi communication Ltd (MCL) kanidokezea gazeti la Mwananchi nalo lipo hatarini kufungiwa
Ngoja tusubiri ukizingatia Jana wametoa habari ya kuongezeka kwa deni la taifa kitu ambacho Mzee wa Uongo hapendi kiwekwe wazi.

Na wewe mdaku uliyeleta habari hiyo humu.. unashindwaje kuleta namba za kukubaliana na uongo wao huo.. au lingine kusema walikuwa na ya ukweli.. kama ukweli wasingekaa chini kuanza kuogopa au sio?
 
Back
Top Bottom