Tetesi: Gazeti la Mwananchi lipo hatarini kupigwa BAN na serikali

Tetesi: Gazeti la Mwananchi lipo hatarini kupigwa BAN na serikali

Teh Teh yale Magazeti yana Vichwa Vya Ajabu Sana.

1.Baada Ya Mkutano wa UN mataifa Yapigana Vikumbo kuja Kijifunza Tanzania.

2.China Kuwanyoosha Acacia.

3.Rais Magufuli Auteka Mkutano Mkuu wa UN azungumziwa Kila Kona.
Mbwa kabisa hayo magazeti....
 
Hivi hilo deni na mimi nahusika kulilipa au watalilipa wenyewe. Maana mimi najihangaikia mwenyewe wala sijatumia hata senti tano ya deni la taifa. Kila kitu najinunulia kuanzia chakula, matibabu hadi elimu. Makazi yangu ya mbavu za mbwa nimejijengea mwenyewe na kabiashara kangu wanachukua kodi kila mwaka. Sasa hapo nadaiwaje wakati kila huduma nalipia na kisha niwalipe kodi kwa pesa ninayohangaika kuitafuta mimi mwenyewe? Mimi simo na silipi!
 
Back
Top Bottom