Tetesi: Gazeti la Mwananchi lipo hatarini kupigwa BAN na serikali

Tetesi: Gazeti la Mwananchi lipo hatarini kupigwa BAN na serikali

Mbona unanicheka tena, kwani uongo kuwa tuliokoa mihela na mihela?? Nauliza, hilo deni litaaongezeka vipi huku tumenunua na ma bombardier 6 cash. Wafungine maisha labda waanzishe vijigazeti vingine.
Mkuu sjcheka kwa mabaya ila nimefurah umeshusha fact kabisa hawa bongo movi PR na mwanae machite waache kuigiza too much is harmful
 
Teh Teh yale Magazeti yana Vichwa Vya Ajabu Sana.

1.Baada Ya Mkutano wa UN mataifa Yapigana Vikumbo kuja Kijifunza Tanzania.

2.China Kuwanyoosha Acacia.

3.Rais Magufuli Auteka Mkutano Mkuu wa UN azungumziwa Kila Kona.
Huwa nikipita ktk Mbao za Magazeti, nacheka sana! Yaani Headlines hizi hunihakikishia siku njema!
 
Mwananchi pekee ndo limebaki na msimamo wa kutotishwa na Mungu watu wasiopenda kuambiwa wanapokosea , nipashe limefyata mkia sasa hivi nalo linatoa habari za kumfutahisha farao tu. Za kumchukiza hawatoi hata km ni za ukweli
 
Wakuu
Kuna mdau mmoja ndani ya mwananchi communication Ltd (MCL) kanidokezea gazeti la Mwananchi nalo lipo hatarini kufungiwa

Ngoja tusubiri ukizingatia Jana wametoa habari ya kuongezeka kwa deni la taifa kitu ambacho Mzee wa Uongo hapendi kiwekwe wazi.
Kama mtu unakuwa hauna cha kupost ni afadhali ufanye plan b yenye tija kwako. Unatueleza habari ambayo hauna uakika nazo ili iweje???? Hizi ni tabia za kiumbeya kwa kijana lijali.
 
Kama mtu unakuwa hauna cha kupost ni afadhali ufanye plan b yenye tija kwako. Unatueleza habari ambayo hauna uakika nazo ili iweje???? Hizi ni tabia za kiumbeya kwa kijana lijali.
Boya wewe hizi ni tetesi na nimezipata kutoka kwa mtu wa ndani mwanajopo wa MCL
 
Jk atakumbukwa sana

Kwa kuisababishia Tanzania matatizo makubwa sana ya Kiuchumi na kuimarisha mfumo mkubwa wa Ufisadi na Uhuni Serikalini huku Tanzania ikiwa ni lango na soko Kuu la Biashara ya Dawa za Kulevya. Kweli Mkuu wala hujakosea uliposema kwamba JK atakumbukwa sana.
 
Boya wewe hizi ni tetesi na nimezipata kutoka kwa mtu wa ndani mwanajopo wa MCL
Huache kuwachungulia baba na mama yako wakati wanatombana msenge wewe. Inawezekana hayo uliyasikia wakati wanagegedana wanapeana udaku then unaleta umbea kwetu boya ww !
 
Huache kuwachungulia baba na mama yako wakati wanatombana ****** wewe. Inawezekana hayo uliyasikia wakati wanagegedana wanapeana udaku then unaleta umbea kwetu boya ww !
Usinitafutie BAN nyingine wee msenge **** la mamako
 
Ivi Watanzania mbona baadhi yetu hatufikiri vizuri!! Yaani miladi yote mikubwa tuliyonayo ya maendeleo bado deni la taifa lisikue? Chakushangaza zaidi kuna watu wanasema Jamiiforum kuna GreatThinker ni zaidi ya Facebook, inakuwaje GreatThinker ashindwe kuona iko miradi mingi na mingi ni mikopo ya nje na ndani?

Kama hufahamu, Duniani karibu serikali zote zinakopa ili kutekeleza miradi na hiyo miradi ndio sababu ya Deni la Taifa kukua. Unachotakiwa kuhoji je! Ayo matumizi ya mikopo yanatumika sahihi?
Deni litakuwa tu ikiwa tuna taka kukuza uchumi wetu kwa kuweka miundombinu na hali bora za wananchi.
 
Back
Top Bottom