Ni kweli kabisa mwenye busara na hekima huleta hoja na kuchalenge ila alie filisika fikra huleta matusi, ni mbaya sana kufilisika akili au fikira, mambo mengi watu wanaeleza kwa kutumia mifano ndoo mijadala ilivyo. Baba Jane anaweza kujifungua hlo gazeti kwakuwa ametuaminisha kwamba anacumlate tax to the extent, na mirad yote ni kodi anayokusanya kwahyo suala la deni kuongezeka kwake analiona kama kadhalilishwa kumbe ndoo uhalisia wenyeweNA WEWE UWE NA ADABU HAPA SIYO MAHALI PA KUTUKANA YAMKINI KUNA WATU NI WAJUZI WA KUTUKANA KULIKO WEWE.