Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,623
- 8,442
Mzee wa uongo ndo nani??Wakuu
Kuna mdau mmoja ndani ya mwananchi communication Ltd (MCL) kanidokezea gazeti la Mwananchi nalo lipo hatarini kufungiwa
Ngoja tusubiri ukizingatia Jana wametoa habari ya kuongezeka kwa deni la taifa kitu ambacho Mzee wa Uongo hapendi kiwekwe wazi.
Acha wewe! muulize hata mtoto mdogo hapo mtaani kwenu anamjua!Mzee wa uongo ndo nani??
Una uliza mavumbi stoo je mzalendo no 1 una mjua?Mzee wa uongo ndo nani??
Na UHURU NA MZALENDO hatutasoma.
Siyo big deal sana kulala saa kumi na mbili, ni kupagiwa siku ya kulala ya mke wakoHaya mambo tunayafumbia macho ipo siku tutaambiwa tulale saa kumi na mbili kamili jioni

Wakuu