Ni kweli kabisa mwenye busara na hekima huleta hoja na kuchalenge ila alie filisika fikra huleta matusi, ni mbaya sana kufilisika akili au fikira, mambo mengi watu wanaeleza kwa kutumia mifano ndoo mijadala ilivyo. Baba Jane anaweza kujifungua hlo gazeti kwakuwa ametuaminisha kwamba anacumlate tax to the extent, na mirad yote ni kodi anayokusanya kwahyo suala la deni kuongezeka kwake analiona kama kadhalilishwa kumbe ndoo uhalisia wenyeweNA WEWE UWE NA ADABU HAPA SIYO MAHALI PA KUTUKANA YAMKINI KUNA WATU NI WAJUZI WA KUTUKANA KULIKO WEWE.
Sina hofu hata wakifungia magazeti yote, Televisheni zote, Redio zote, na Mitandao yote ya kijamii. Hofu yangu ni siku wakiamua kufungia wale wenye mawazo tofauti na ya kwao!
ahahahahhaaaaMKUU UNAULIZA MK...ND..WA MBWA WAKATI MKIA UNAUONA,FUATA MKIA UNAPOANZI NDO HAPO HAPO.
Mzalendo namjua mkuuU
Una uliza mavumbi stoo je mzalendo no 1 una mjua?
Ahahahahaa. Sawa mkuuAcha wewe! muulize hata mtoto mdogo hapo mtaani kwenu anamjua!
Ni kweli kabisa mwenye busara na hekima huleta hoja na kuchalenge ila alie filisika fikra huleta matusi, ni mbaya sana kufilisika akili au fikira, mambo mengi watu wanaeleza kwa kutumia mifano ndoo mijadala ilivyo. Baba Jane anaweza kujifungua hlo gazeti kwakuwa ametuaminisha kwamba anacumlate tax to the extent, na mirad yote ni kodi anayokusanya kwahyo suala la deni kuongezeka kwake analiona kama kadhalilishwa kumbe ndoo uhalisia wenyewe
POINT TUPU MKUU LIKE YANGU NIMEITENDEA HAKI.Ni kweli kabisa mwenye busara na hekima huleta hoja na kuchalenge ila alie filisika fikra huleta matusi, ni mbaya sana kufilisika akili au fikira, mambo mengi watu wanaeleza kwa kutumia mifano ndoo mijadala ilivyo. Baba Jane anaweza kujifungua hlo gazeti kwakuwa ametuaminisha kwamba anacumlate tax to the extent, na mirad yote ni kodi anayokusanya kwahyo suala la deni kuongezeka kwake analiona kama kadhalilishwa kumbe ndoo uhalisia wenyewe
ahhahhaha hahahahhahahahahahahahahahhaahahahahahhhhahahahahhahhahahahahahahahahahahahahhahhahaahahahhaahhahahahhhahahahahahahahWapigwe BAN tuu. Kwa nini wanatufadhaisha sisi walala hoi?? Deni hilo limeongezeka kwa sababu gani wakati tumewagundua wafanyakazi hewa, madeni hewa, likizo hewa na uzazi hewa?? Wapiga dili hewa?? Fedha yote tuliyoiponya huko si tutafidia madeni? Litaongezekaje?
poleSina hofu hata wakifungia magazeti yote, Televisheni zote, Redio zote, na Mitandao yote ya kijamii. Hofu yangu ni siku wakiamua kufungia wale wenye mawazo tofauti na ya kwao!
Daaa mkuu umenichekeshaje tokea asubuhi mpaka muda huu ndipo nimetoa kicheko hiki.NITAANZISHA GAZETI LANGU NA VICHWA HABARI VITAKUWA HV
1. ACACIA WASALIMU AMRI KWA TINGATINGA
2. USA WAOMBA MKOPO TZ
3. 80% YA WATZ WATAKA JPM AONGOZE MPAKA AZEEKE KAMA MUGABE
4. SHULE ZA KATA ZASHKA TOP TEN MATOKEO YA FORM 4
5. WANAFUNZ WOTE WA ELIMU YA JUU WAPATA MIKOPO
6. DENI LATAIFA LIMEISHA
Note:
Kama tu nakala zote zitanunuliwa na utawala, vinginevyo hasara tupu.
H
ahhahhaha hahahahhahahahahahahahahahhaahahahahahhhhahahahahhahhahahahahahahahahahahahahhahhahaahahahhaahhahahahhhahahahahahahah
We nawe unakuwa kama humjui, muongo wa waongo aisee! Jiongeze bana!Mzee wa uongo ndo nani??