Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Gazeti la Mwananchi la leo limekuja na kichwa cha habari kikubwa "Bakwata ilivyokoleza mjadala wa umri wa kuolewa"
Huku likiwa likiweka picha ya mtoto wa miaka 6 kwenye ukurasa huo. Najiuliza lengo la kuweka hii picha ni kuwa wanamaanisha Bakwata wanaunga mkono watoto wa miaka 6 kuolewa?
Bakwata walikuwa wazi ni mtoto wa miaka 14 ambaye amekwisha balehe. Picha inaongea zaidi ya maneno