Gazeti la Nipashe lifungiwe baada ya Serikali kuchunguza habari hii

Gazeti la Nipashe lifungiwe baada ya Serikali kuchunguza habari hii

Stori ya wiki hii mikutano ya CDM wewe unaleta ujingaujinga?! Kwenda zako.
 
Au wewe ndiye mwalimu unayetuhumiwa?maana umeandika kwa mfumo wa kujitetea zaidi!
 
Watoto wanakaa na watu wengi ambao wanaweza kuwafundisha huo ujinga, au wametazama kwenye simu za wazazi wao video za porn

Sasa gazeti kukurupuka moja kwa moja bila uchunguzi na kusema wanafundishwa shuleni sio sawa
Kwa mujibu wa makala ile watoto hawajaona kwenye simu za wazazi wao bali matron ndio tuitor wa huo mchezo mchafu kwa malipo ya kufuliwa nguo na kuchukuliwa chakula kwa hao madogo.
 
Kwa mujibu wa makala ile watoto hawajaona kwenye simu za wazazi wao bali matron ndio tuitor wa huo mchezo mchafu kwa malipo ya kufuliwa nguo na kuchukuliwa chakula kwa hao madogo.
Sasa mwandishi ataandikaje habari kwa story ya kusimuliwa tu na mtoto?

wakati angeweza kufuatilia zaidi?
 
Hata Mimi nimeifatilia hiyo habari lakini haikuwa kama kichwa Xha habari kilivyo. Kiki ni kubwa ila habari yenyewe inaonekana haijanyooka sana
Waliandika kichwa cha habari cha kushtua sana ila habari yenyewe famba
 
Mmeshikwa pabaya watu wana ushuhuda hadi wa vitabu vya mashuleni huko vinaletwa na hayo madonyo bwabwa
 
John kaa kimya huko mashuleni watoto wenu wanafi....r...mnooo wachunguzeni tu,mtajua hamjui
 
Hayo mambo yapo ,watoto wanaharibiwa sana mashuleni...Uchunguzi muhimu.
 
Back
Top Bottom