mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Read btn the lines halafu ndio uje na maswali yako mepesiGazeti la Tanzania Daima linaripoti? Tanzania Daima au Raia Mwema?
Uhuru WA habari umeanza
Very trueUhuru WA habari umeanza
OK kama anao, upande wa serikali ndio kwanza wanafanya uchunguzi kama kuna matumizi ya ovyo.Umemhioji mwandishi akakosa evidence?
Dokezo!Kwa kweli mafisi hayalali
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti
Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number
Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.
View attachment 1738008
Dokezo!
Na Kuna dokezo lingine tena, lile la CDF sema hilo ni kwaajili Raisi peke yake
Awamu hii ya sita tumakwenda na DOKEZO
je, ndugu msomaji una dokezo lolote?
Kazi nzuri sana. Kama wataendeleza hii tutaokoa fedha nyingi za umma.Kwa kweli mafisi hayalali
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti
Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number
Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.
View attachment 1738008
Kumbe walikuwa wanajifanya wazalendo ila walikuwa wanamuogopa hayat magufuli,looh . RAIS wetu Samia akicheka na nyani tuu Tanzania itabaki mabua.Amaze hivyohivyo tena kumpita Mtanguluz wake.Watu Sio Wastaarab hata kidogo. Kufariki tuu JPM udenda ulianza kuwatoka.Kwa kweli mafisi hayalali
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti
Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number
Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.
View attachment 1738008
Majina...
Kwa ufahamu wangu dokezo linakuwa na mdokezaji, kwaio ukimfuata aliekudokeza atakuelekeza alipopata hilo dokezo lakeDokezo zisije geuka kuwa ramli chonganishi zitakazo muweka Mh Rais katika mazingira magumu ya kuongoza nchi hii.
Hao watu ni akina nani?
Mhandisi Deusdedit Kakoko na mtoto wa dada Dotto JamesMajina...
Kwa ufahamu wangu dokezo linakuwa na mdokezaji, kwaio ukimfuata aliekudokeza atakuelekeza alipopata hilo dokezo lake
Mf. Lile dokezo la mkuu wa manyota lilikuwa wazi kabisa kwamba linatoka kwa mwenda zake
Lakini wewe umejuaje kuwa amekosa ushahidi?eye kama anajua zaidi awe tayari kuelezea kuisaidia serikali siku akiitwa TCRA msianze kusema uminywaji wa demokrasia akichukuliwa hatua kwa kukosa ushahidi.
We unaamini private Bank inaweza toa siri za miamala ya hela?Lakini wewe umejuaje kuwa amekosa ushahidi?