Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

Umemhioji mwandishi akakosa evidence?
OK kama anao, upande wa serikali ndio kwanza wanafanya uchunguzi kama kuna matumizi ya ovyo.

Yeye kama anajua zaidi awe tayari kuelezea kuisaidia serikali siku akiitwa TCRA msianze kusema uminywaji wa demokrasia akichukuliwa hatua kwa kukosa ushahidi.

Binafsi naamini busara ni kumpa rungu mapema msemaji mkuu wa serikali kama ilivyokuwa, vinginevyo yetu macho.
 
Uhuru wa habari wa namna hii utaharibu badala ya kujenga. Mh Rais alisema TPA kwa mujibu waripoti ya CAG kulikuwa na ubadhirifu wa kama 3B na ushee. Lakini anafikiri Mkurugenzi wa TPA alilindwa katika uchunguzi wa awali wa PM kwani alisema waliondolewa watu wa chini.

Hapo utaona alimkamia Mkurugezi na kumchafua PM kuwa alimlinda. Mkurugenzi TPA alilindwa na nani ngumu kujua tuna twa ambiwa ni muhandisi lakini.
 
Kwa kweli mafisi hayalali
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti

Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number

Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.

View attachment 1738008
Dokezo!
Na Kuna dokezo lingine tena, lile la CDF sema hilo ni kwaajili Raisi peke yake
Awamu hii ya sita tumakwenda na DOKEZO
je, ndugu msomaji una dokezo lolote?
 
Dokezo zisije geuka kuwa ramli chonganishi zitakazo muweka Mh Rais katika mazingira magumu ya kuongoza nchi hii.
 
Kwa kweli mafisi hayalali
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti

Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number

Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.

View attachment 1738008
Kazi nzuri sana. Kama wataendeleza hii tutaokoa fedha nyingi za umma.
 
Kwa kweli mafisi hayalali
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti

Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number

Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.

View attachment 1738008
Kumbe walikuwa wanajifanya wazalendo ila walikuwa wanamuogopa hayat magufuli,looh . RAIS wetu Samia akicheka na nyani tuu Tanzania itabaki mabua.Amaze hivyohivyo tena kumpita Mtanguluz wake.Watu Sio Wastaarab hata kidogo. Kufariki tuu JPM udenda ulianza kuwatoka.
 
Dokezo zisije geuka kuwa ramli chonganishi zitakazo muweka Mh Rais katika mazingira magumu ya kuongoza nchi hii.
Kwa ufahamu wangu dokezo linakuwa na mdokezaji, kwaio ukimfuata aliekudokeza atakuelekeza alipopata hilo dokezo lake
Mf. Lile dokezo la mkuu wa manyota lilikuwa wazi kabisa kwamba linatoka kwa mwenda zake
 
Ila mimi si amini kuwa wako wajinga wanao weza kuiba kwa staili hii ya Dokezo la Rai Mwema. Ni suala la muda tu wako watakao enda kufedheheka kwa papara za kuchukua maamuzi.
 
Lakini wewe umejuaje kuwa amekosa ushahidi?
We unaamini private Bank inaweza toa siri za miamala ya hela?

Je bank kuu wanaweza peleka hela zinazoombwa na shirika kwenye account binafsi tena isiyojulikana?

Why on Earth bandari iombe hela BoT wakati wao ndio wanapeleka hela huko. Hiyo hela ni kama collection ya siku tu bandarini si bora waibie huko.

Hakuna logic wala consistency kwenye story.
 
Back
Top Bottom