Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

We unaamini private Bank inaweza toa siri za miamala ya hela?

Je bank kuu wanaweza peleka hela zinazoombwa na shirika kwenye account binafsi tena isiyojulikana?

Why on Earth bandari iombe hela BoT wakati wao ndio wanapeleka hela huko. Hiyo hela ni kama collection ya siku tu bandarini si bora waibie huko.

Hakuna logic wala consistency kwenye story.

Mama Samia ameomba special audit ya hela za serikali zilizotoka BOT kwa miezi ya Jan - March 2021, unadhani amewaza nini?
 
Hawa Raia mwema ni either;

✓Wametumwa

✓Wana ushahidi

✓Au they are deadly crazy..huwezi kuandika stori kubwa kama hii kama huna vithibitisho..utakuwa ni ukanjanja wa karne.
 
Majungu tu haya hamna mtu anaye weza kuiba kijinga kiasi hiki. Mwisho wa siku lazima angetakiwa atoe maelezo ya jinsi fedha zilivyo tumika.
Kwani enzi za Balali pesa ilitokaje? HAwa ni watu wanaoangalia kama rais ni mtu wa kucheka-cheka.
 
Mama Samia ameomba special audit ya hela za serikali zilizotoka BOT kwa miezi ya Jan - March 2021, unadhani amewaza nini?
Ndio iwe sababu ya kutunga habari kisa raisi kasema ifanyike investigation, tena pesa za miradi zilizotoka tofauti na story husika.

If anything mama Samia made a blunder kwa kutangaza ile investigation.

Kama ana wasiwasi angeitisha investigation ya kimya kimya tu kuliko kuitangaza na ku boost ego za Kigogo a person who already values his self importance.

Ni hivi watanzania ni predictable it was all coming

Orodha ya viongozi ambao Mama Samia anatakiwa kuwafuta kazi haraka

I said it before ☝️nini kitafuata kwenye media soon after; tegemea habari za ovyo ovyo 👋
 
Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.

Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.

Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.

Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.

Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.

Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.

Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Umemuhoji mwandishi akashindwa kutoa evidence!?
 
Majungu tu haya hamna mtu anaye weza kuiba kijinga kiasi hiki. Mwisho wa siku lazima angetakiwa atoe maelezo ya jinsi fedha zilivyo tumika.
Nakubaliana na wewe kuwa haya ni majanga.
Ikitokea kuwa kweli, kwamba mwandani wa JPM ni mwizi, anatakiwa apigwe risasi mpaka afe Uwanja wa Uhuru.
 
Ila mimi si amini kuwa wako wajinga wanao weza kuiba kwa staili hii ya Dokezo la Rai Mwema. Ni suala la muda tu wako watakao enda kufedheheka kwa papara za kuchukua maamuzi.
Maamuzi yanafanyika baada ya dokezo kufanyiwa uchunguzi wa kina na kupata ripoti kamili mkuu
 
Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.

Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.

Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.

Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.

Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.

Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.

Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Wewe f.al.a kabisa. Magazete ya Msiba na Mchange ambayo kila.siku ni kuchagua wanaohisiwa kumpinga Mwendazake yalidunda ila yaliyohoji tu utkufu wake walinyooshwa. Mawio, Mwanahalisi, Mwananchi et al
 
Ndio iwe sababu ya kutunga habari kisa raisi kasema; if anything mama Samia made a blunder kwa kutangaza ile investigation.

Kama ana wasiwasi angeitisha investigation ya kimya kimya tu kuliko kumjengea

Rais hajatoa hitimisho, ameomba uchunguzi ufanyike kuona kama kuna lolote linaloweza kuwa limetokea kipindi hiki cha transition.

Kwenye kukabidhiana ofisi, ukaguzi ni moja ya vitu muhimu, unless kila kitu kinajieleza.

Na Mama kuagiza mbele ya Uma ni kutupa confidence wanae kwamba anasimamia rasilimali zetu ipasavyo.
 
Wewe f.al.a kabisa. Magazete ya Msiba na Mchange ambayo kila.siku ni kuchagua wanaohisiwa kumpinga Mwendazake yalidunda ila yaliyohoji tu utkufu wake walinyooshwa. Mawio, Mwanahalisi, Mwananchi et al
Ni ajabu kabisa hawa ndio walikokuwa wanafaidi keki ya Taifa sasa tonge linapokonywa hata kabla hajachovya kwenye mboga...
 
1617042274620.jpeg

CCM ni ukoo wa panya.
 
Maamuzi yanafanyika baada ya dokezo kufanyiwa uchunguzi wa kina na kupata ripoti kamili mkuu

Hiyo habari ya Gazeti imekaa kishambenga sana, unprofessional mpaka tunapata mashaka. Haikutakiwa ihusishwe na utumbuaji wa Mh Rais.
 
Kigogo anawapeleka puta majizi, wahuni na mafisadi na hii habari kuwekwa gazetini ni dalili ya uhuru wa vyombo vya habari kurudi tena hewani bila ya kumuogopa jiwe.
Kwani kigogo ni mahakama ya mafisadi?
 
Kwa kweli mafisi hayalali
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti

Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number

Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.

View attachment 1738008
Ngoja tuone hili jambo litafika wapi lakini inatia faraja kuona vyombo vya habari vina uthubutu wa kuandika pasipo hofu
 
Back
Top Bottom