Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
😂😂😂😂 Kwa kweli mnachekesha, wewe umeelewa ulichoandika hapa?
Tutaelewana mbele ya safari huu si mwanzo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Kwa kweli mnachekesha, wewe umeelewa ulichoandika hapa?
We unaamini private Bank inaweza toa siri za miamala ya hela?
Je bank kuu wanaweza peleka hela zinazoombwa na shirika kwenye account binafsi tena isiyojulikana?
Why on Earth bandari iombe hela BoT wakati wao ndio wanapeleka hela huko. Hiyo hela ni kama collection ya siku tu bandarini si bora waibie huko.
Hakuna logic wala consistency kwenye story.
Kwani enzi za Balali pesa ilitokaje? HAwa ni watu wanaoangalia kama rais ni mtu wa kucheka-cheka.Majungu tu haya hamna mtu anaye weza kuiba kijinga kiasi hiki. Mwisho wa siku lazima angetakiwa atoe maelezo ya jinsi fedha zilivyo tumika.
Ndio iwe sababu ya kutunga habari kisa raisi kasema ifanyike investigation, tena pesa za miradi zilizotoka tofauti na story husika.Mama Samia ameomba special audit ya hela za serikali zilizotoka BOT kwa miezi ya Jan - March 2021, unadhani amewaza nini?
Umemuhoji mwandishi akashindwa kutoa evidence!?Hizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.
Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.
Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.
Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.
Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.
Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.
Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Nakubaliana na wewe kuwa haya ni majanga.Majungu tu haya hamna mtu anaye weza kuiba kijinga kiasi hiki. Mwisho wa siku lazima angetakiwa atoe maelezo ya jinsi fedha zilivyo tumika.
Maamuzi yanafanyika baada ya dokezo kufanyiwa uchunguzi wa kina na kupata ripoti kamili mkuuIla mimi si amini kuwa wako wajinga wanao weza kuiba kwa staili hii ya Dokezo la Rai Mwema. Ni suala la muda tu wako watakao enda kufedheheka kwa papara za kuchukua maamuzi.
Wewe f.al.a kabisa. Magazete ya Msiba na Mchange ambayo kila.siku ni kuchagua wanaohisiwa kumpinga Mwendazake yalidunda ila yaliyohoji tu utkufu wake walinyooshwa. Mawio, Mwanahalisi, Mwananchi et alHizi ndio wanaita freedom of speech, huyo mwandishi akiambiwa athibitishe maandishi yake with evidence not so sure kama ataweza.
Ni bora Mama Samia ajizoeshe mapema vijembe vya kigogo, chahali, Fatma karume, Maria Sarungi na mental case wengine kutoka twitter kuliko kuanza kuchekea nakala ambazo mwandishi hawezi toa ushahidi.
Iwe habari ya ukweli au la. Evidence is important vinginevyo ni kosa kisheria.
Akianza kuchekea mambo kama haya sio muda mrefu ataanza kusoma yeye mwenyewe kampa dada yake sijui shemeji yake tender za serikali huko kwao Chakechake.
Magufuli went overboard na media censorship but for the most alitaka waandishi wajikite kwenye habari za ukweli hata kama story aina uhusiano na serikali.
Sasa mama acheke na nyani halafu aone what headlines will follow soon, watanzania ni easily predictable sio watu wakuwachekea kabisa.
Busara ni kumwambia mapema msemaji mkuu wa serikali kwenye media moto ni uleule.
Watu wanakula bata na wengine boma zipo hewani..Kwa iyo kuna watu wanakula maisha saaaaafi??
Ndio iwe sababu ya kutunga habari kisa raisi kasema; if anything mama Samia made a blunder kwa kutangaza ile investigation.
Kama ana wasiwasi angeitisha investigation ya kimya kimya tu kuliko kumjengea
Ni ajabu kabisa hawa ndio walikokuwa wanafaidi keki ya Taifa sasa tonge linapokonywa hata kabla hajachovya kwenye mboga...Wewe f.al.a kabisa. Magazete ya Msiba na Mchange ambayo kila.siku ni kuchagua wanaohisiwa kumpinga Mwendazake yalidunda ila yaliyohoji tu utkufu wake walinyooshwa. Mawio, Mwanahalisi, Mwananchi et al
Kigogo2014 alishayataja hayo majizi, yapo Ikulu yamejikausha kama hayahusiki
Kumbe ndiyo maana wanaitwa pia Fisiemu!! 🤔
Kigogo anawalaza majizi/mafisadi na viatu.
Maamuzi yanafanyika baada ya dokezo kufanyiwa uchunguzi wa kina na kupata ripoti kamili mkuu
Kwani kigogo ni mahakama ya mafisadi?Kigogo anawapeleka puta majizi, wahuni na mafisadi na hii habari kuwekwa gazetini ni dalili ya uhuru wa vyombo vya habari kurudi tena hewani bila ya kumuogopa jiwe.
Ngoja tuone hili jambo litafika wapi lakini inatia faraja kuona vyombo vya habari vina uthubutu wa kuandika pasipo hofuKwa kweli mafisi hayalali
Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti
Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number
Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na tunamuomba kuwa pindi ikibainika nia ovu basi asiangalie mtu usoni bali hatua kali za kinidhamu katika utumishi wa umma na za kisheria zichukue mkondo wake.
View attachment 1738008