The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #61
Ulienda shule kujaza mavi kichwani..Kwa iyo malighafi na mali za kusafirisha bongo hakunazo.
Si bure ww ndio cheti feki
MPUMBAVU katika ubora wako wa kujivunia kabisa East Africa.Huu ni ujinga wa Karne..Huwa wanajenga kumnufaisha mjukuu gani?
Nyumba sio reli,reli inaenda na teknolojia ya wakati huo Ili ilete faida sio kusubiria ,ukisubiria teknolojia inapita inakuwa chuma chakavu.
Data za mabeberu zimelenga kukatisha tamaa ili tusijenge reli ya SGR. Huu ni uwekezaji wa muda mrefu uliolenga kusaidia taifa letu kwa mamia ya miaka mbele yetu. Ushauri wao ni sawa na ushauri wa mtu aliyejenga nyumba nzuri kwa wanaotaka kujenga nyumba!! Mara nyingi huwakatisha tamaa kwa kuwatajia mamilioni marefu yanayohitajika. Lakini wenye akili zao huanza mdogo mdogo na baada ya miaka kadhaa hufanikiwa kumalizia ujenzi na kumiliki jumba kubwa la hadhi. Wale wanaoogopa gharama wanazotishiwa nazo hubaki wakisumbuana na "mama mwenye nyumba" kwenye ulipaji wa kodi, au hujenga vibanda kama vibanda vya kuku.Habari za leo,
Gazeti la The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara?
Kwa mujibu wa WB Ili reli ilete faida inatakiwa mzigo angalau Tani mil.55 wakati utafiti unaonyesha Hadi kufikia 2030 EAC yote itakuwa na uwezo wa kusafirisha Tani asilia 14 tuu ya mahitaji Ili upate faida..
Kwamba Kwa nini Magufuli na Serikali yake walichagua expensive option ambayo itakuwa ni liability Kwa Taifa miaka na miaka?
My take: Hivi kwa nini tusiwe tunawawajibisha watu wanaotoa hasara Taifa kwa maamuzi yao ya Hovyo?👇
View attachment 2302965View attachment 2302966View attachment 2302967View attachment 2302968
Umesoma article? Uzuri wake ni hizo structures au ni kuleta faida?SGR sio mbaya kabisa mimi najiuliza kwanini miradi mikubwa yote at once, vipi kuhusu maendeleo ya watu yaani uwekezaji katika kuhakikisha wananchi nao wanafaidi keki ya Taifa.
Jadili hoja kwa hoja sio kuropoka matusi..MPUMBAVU katika ubora wako wa kujivunia kabisa East Africa.
That is rubbish, men! Siyo juu yangu kukupa elimu. Badala ya kupoteza muda kupiga vita kitu kisichozuilika, better educate your own self.Kwani wakilipana kiasi hicho ndio inaondoa kwamba ni wataalamu?
Jadili Hoja,hadi sasa hakuna kitu alichofanya Mwendazake kinaleta faida hakipo kwa sababu za kukurupuka na Kwa vile pesa hatoi yeye..
Huna hoja umekalia mipasho..Watu kama nyie ni WA kunyongwa.That is rubbish, men! Siyo juu yangu kukupa elimu. Badala ya kupoteza muda kupiga vita kitu kisichozuilika, better educate your own self.
Opportunistics ni shida kubwa sana katika nchi hii !! Hapo ujue wenye malori wameanza kampeni chafu ili huo mradi wa Sgr usikamilishwe !! Nchi kama itakuwa inaendeshwa namna hii tutapata tabu sana , watu wapo kwa ajili ya masilahi ya kikundi Fulani kilichojipanga kisawasawa kuihujumu nchi kwa maslahi yao !!Hizi makala huwa haziibuki tu, hii ni propaganda yenye lengo maalum. Hii nchi kuna ujinga tunaulea, kuna mambo tukiruhusu siasa zetu chafu ziingilie tutavuna mabua.
Kwani Hangaya anasemaje!?Kwamba Kwa nini Magufuli na Serikali yake walichagua expensive option ambayo itakuwa ni liability Kwa Taifa miaka na miaka?
Magufuli hakujenga hiyo reli kwa ajili ya mizigo Bali wananchi kupanda, hao wataalamu Ni wapumbavuHabari za leo,
Gazeti la The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara?
Kwa mujibu wa WB Ili reli ilete faida inatakiwa mzigo angalau Tani mil.55 wakati utafiti unaonyesha Hadi kufikia 2030 EAC yote itakuwa na uwezo wa kusafirisha Tani asilia 14 tuu ya mahitaji Ili upate faida..
Kwamba Kwa nini Magufuli na Serikali yake walichagua expensive option ambayo itakuwa ni liability Kwa Taifa miaka na miaka?
My take: Hivi kwa nini tusiwe tunawawajibisha watu wanaotoa hasara Taifa kwa maamuzi yao ya Hovyo?👇
View attachment 2302965View attachment 2302966View attachment 2302967View attachment 2302968
Ndioo maana wakati wake watu Kama Hawa walitekwa, Hawa wataalamu hawana akili kabisaWajinga wanamlaumu mtu aliyewapeleka hatua 1000 mbele.
Kwahiyo kwa upande wako kufanya mradi fulani hadi uelemewe??? Wakati unafahamu kabisa kuna muda ukifika utaelemewa.Binafsi niliona halikuwa wazo zuri kwa kuangalia utilization ya reli ya zamani ilikuwa asilimia ngapi? binafsi niliamini tulipaswa kuhakikisha kwanza reli ya zamani ni productive na utilization yake ni maximum na tumeelemewa ndio twende kwenye option B.
Kama tulijenga tu kwa fassion kwa sababu duniani zinajengwa bila technical calculation ni kuchezea tu hela za walipa kodi, watu wetu wanapaswa kuwa na fikra za kazi zaidi.
Pamoja na kumpinga Magufuli katika mambo yake mengi, lakini katika hili la SGR ni no!Habari za leo,