Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

Kama unajua tuambie teknolojia inayotumika kwenye reli yetu itadumu miaka mingapi? na ni tchnolojia ipi unayozungnumzia? Ya reli au ya train zitakazopita kwenye hiyo reli
 
Wa
Kama unajua tuambie teknolojia inayotumika kwenye reli yetu itadumu miaka mingapi? na ni tchnolojia ipi unayozungnumzia? Ya reli au ya train zitakazopita kwenye hiyo reli
Wasitusumbue hao mawakala wa mabeberu. Kama reli aliyojenga mkoloni wa kijerumani imedumu kwa miaka karibu 200 sasa na inaendelea kudumu, hii reli ya standard gauge bila shaka itadumu kwa miaka zaidi ya 500! Huu ni uwekezaji wenye akili sana. Mizigo itakuja kupatikana tu kama uwezo wa usafirishaji ukiwepo.
 
Gung Ho indeed! Such is the calamitous situation Tanzania landed in when the so called Bulldozer Magufuli ascended to the throne!
For the sober minded Netizens, the SGR project similar to the hydro power project at Stiegler gorge became white elephants even before construction began!
 
Sawa ila kupanga ni kuchagua
 
Huna hoja umekalia mipasho..Watu kama nyie ni WA kunyongwa.
What? I am fond of exploring information to help me understand your mental quality. Preliminarily, I already see how Kiswahili encourages you to use obscene language.
 
Aliyewaambia SGR ilijengwa kuleta faida ni nani? Hii imejengwa kutoa service kwa wananchi na faida watapata walipa kodi...ndiyo maana miradi ya aina hii wati binafsi wanaikimbia
 
Na lazima takuwa katumwa na wenye malori na mabasi
 
Hilo gazeti nadhani wako kwenye payroll. Wanatumika sana. Ukiangalia habari zao nyingi ni za mapambio.
 

Dah we jamaa hivi unajielewa kweli, au ni mamluki kutoka Kenya?

Citizen ni gazeti la waKenya.

Na uko serious kuchukua ushauri kutoka World Bank? Hujui World Bank wameshatutia hasara kiasi gani?
 
Hilo gazeti nadhani wako kwenye payroll. Wanatumika sana. Ukiangalia habari zao nyingi ni za mapambio.
Kwani umesahau ile habari ya kimbunga JOBO ? Ilitangazwa sana na mpaka na vyombo vikubwa vya habari vya nje kwamba hicho kimbunga kitapiga pwani ya lindi na Dar Ed salaam badala yake tukasikia doria ya wanajeshi huko pwani ya kilwa wameishika merikebu iliyokuwa imesheheni mihadarati!!
 
Ye ana utaalamu wa kiwango gani? Pia akumbushwe wajibu wa kwanza wa serikali ni kutoa huduma kisha ndio faida. Ndio maana kuna taasisi zinapata ruzuku ambayo ni kodi zetu kutoka serikalini ili kutoa huduma.
 
Wakenya tumewashika pabaya kwa kweli! Mmekuja kivingine tena? Mwaka huu mpaka mwombepo! Kule bomba la mafuta linajengwa!
 
Ni mjinga tu anaweza kuhoji hilo.
1. Kuna malori kila siku hanafanya uharifu wa barabara kila siku. Hilo nayehoji haoni.
2. SGR Ikitumia hata saa 2 kwenda Moro. Nani mjinga ataenda na bus. Anayehoji haoni
3. Jam nyingi njiani sababu ninlori za mizigo inatoka bandari za Dar na Tanga. Anayehoji haoni
4. Ajali nyingi zinasabishwa na malori yanayotembea barabarani na mizigo kuitoa Dar
Ni ujinga unaoamini kuwa mizigo mizito na itasafiri kwa lori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…