Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

Kwani wakilipana kiasi hicho ndio inaondoa kwamba ni wataalamu?

Jadili Hoja,hadi sasa hakuna kitu alichofanya Mwendazake kinaleta faida hakipo kwa sababu za kukurupuka na Kwa vile pesa hatoi yeye..
Ni kwa sababu mwenyewe hayupo na sasa iko michwa inayotafuna miwa tu.
 
Arguments zenyewe ni unjustifiable mtu tu ana relate investment ambazo hazina equal potential, wala logic.

Kenya Railway is a truck to no where, Tanzania railway inaenda nchi nne and all of which with huge growth potential ndio maana ata huyo mchina hana shida ya kujenga port kubwa Mombasa ambayo na yenyewe ina matatizo yale yale ya Dar delays in offloading cargo inayochangia kwenye demmurage charges. Sasa kwanini mchina asiende huko Mombasa kujenga iwe more efficient abaki alilie Bagamoyo kwa zaidi ya miaka 10 sasa.

On the other hand TRC train aitoki Dar-Moshi-Arusha directly; inasimama vituo kibao na kuchochea local businesses hasa kwa wafanyiabashara wadogo ambao wanapanda na kushuka vituo vya njiani au anadhani Tanzania ni miji mikubwa tu, Tanga cement inafaidika sana on economies of scale kwa mujibu wa uongozi wao and so will other business too in the future watakaowekeza karibu na line.

In short wakenya wana matatizo makubwa sana, ndio maana kuna wakati hayati aliwafungia hawa watu. If it’s up to them ili gazeti kama nchi yetu ingekuwa na ukabila kama kwao wangeweza chochea ata maswala ya xenophobia Tanzania.

Ni article ya uchokozi isiyo na merit ya hoja zozote za msingi wao ndio wanajua projected volumes za mizigo kushinda nchi husika or what justification kusema reli lazima ibebe 55 million tons annually ipate faida, wanajua kiasi gani ni hela za ndani na kipi mkopo au estimated ya mwaka wa faida, wanafahamu interest ya mikopo yake return ya malipo, wanajua cost za kuendesha hiyo train or what justification imetumika kusema reli lazima ifikie hizo million tonnes ili iwe na faida.

Pure nonsense ingelikuwa nchi nyingine mwandishi anaitwa kuelezea hiyo bias story yake au credibility ya arguments zake; sio uamke na kujiropokea tu kama Ulimwengu kisa una platform.

Like seriously what is wrong with Kenyans always worrying what Tanzania is doing, why this is not the behaviour of our other neighbours Rwanda, Ugandan, Congo or Burundi; it’s always the Kenyans who are worried about other EAC nations economic plans.
 
Naomba tuipinge hii article kwa hoja na sio hisia....
Nashindwa kukataa kilichoandikwa ingawa kinauma...kata tiketi ya treni Arusha kwenda dar uone...treni inaondoka saa tano Arusha kwenda Moshi....itatoka Moshi saa tatu usiku ....
 
Mods kwa nini mnabadilisha heading? Niliandika nani Alimshauri Magufuli sio Serikali
 
Kuna watu watachukia sana kwa maswali haya msingi sana!
 
Uko sahihi
 
Nakupa kongole Kaka,umemaliza kbs
 
Kwangu niseme tu kama hatujasahau! Magufuri alitumia Sera za Chadema(Kama sikosei Dk.Slaa baada ya kuikimbia CDM alimkabidhi Magu ilani ya CDM) ilani hiyo kulikuwemo nadhani hata ujenzi wa SGR,Elimu bure,nk! Na hapa niseme isiokuwa kama Magu aliitumia Ilani ya CDM vibaya,basi CDM ingeingia madarakani tungeanza kukutana na haya.
NI MTAZAMO WANGU HUU!
 
Siyo lazima mizigo ikwame. Ishu ni namna inavyosafirishwa, cost, reability, etc. Hili la reli kwangu mimi ulikuwa ni uamuzi mzuri. Hakuna nchi iliyoendelea bila kuwa na usafiri wa uhakika, nafuu na haraka.
 
Umenena Kweli !! Na hawatakuwa satisfied na maisha yao mpaka wanafukiwa chini ya ardhi !!
 
Wana hofu na Tanzania kwa sababu wanajua the sleeping giant karibu anataka kuamka !!
 
Hizi makala huwa haziibuki tu, hii ni propaganda yenye lengo maalum. Hii nchi kuna ujinga tunaulea, kuna mambo tukiruhusu siasa zetu chafu ziingilie tutavuna mabua.
Huyu ni yule mwandishi wa habari aliyekuwaga na kesi ya uhujumu uchumi kabendera ameanza Tena ujinga wake
 
The politicians own these trucks/lorries. Obviously they will not allow the SGR to snatch business from them!
Hapo ndipo watakapojua kuwa hawajui !! Watanzania kama bado wamelala basi hapo ndipo watakapoamkia !! Na Mungu atatenda !!
 
Wewe ndiye uliye na mawazo ya kimasikini. Ulifanya hesabu ukaona tunamahitaji ya reli mpya,ya zamani haikutosha?
Hii iliyopo hatujaweza kuitumia kiuchumi na kuiendesha kwa asilimia 10 .Ni sawa na kununua Lori wakati bajaji uliyo nayo hujaweza kuitumia kujinufaisha.
 
Aliyewaambia SGR ilijengwa kuleta faida ni nani? Hii imejengwa kutoa service kwa wananchi na faida watapata walipa kodi...ndiyo maana miradi ya aina hii wati binafsi wanaikimbia
Na hii ndio point hasa
Sasa mtu anang'ang'ania tu gharama na madeni yataisha lini wakti tokea anazaliwa kakuta nchi inadaiwa
 
Na hii ndio point hasa
Sasa mtu anang'ang'ania tu gharama na madeni yataisha lini wakti tokea anazaliwa kakuta nchi inadaiwa
Na pia gharama za kukarabati barabara kuu ya kati zitakoma maana malori yanayoharibu hiyo barabara yatapungua sana !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…