Arguments zenyewe ni unjustifiable mtu tu ana relate investment ambazo hazina equal potential, wala logic.
Kenya Railway is a truck to no where, Tanzania railway inaenda nchi nne and all of which with huge growth potential ndio maana ata huyo mchina hana shida ya kujenga port kubwa Mombasa ambayo na yenyewe ina matatizo yale yale ya Dar delays in offloading cargo inayochangia kwenye demmurage charges. Sasa kwanini mchina asiende huko Mombasa kujenga iwe more efficient abaki alilie Bagamoyo kwa zaidi ya miaka 10 sasa.
On the other hand TRC train aitoki Dar-Moshi-Arusha directly; inasimama vituo kibao na kuchochea local businesses hasa kwa wafanyiabashara wadogo ambao wanapanda na kushuka vituo vya njiani au anadhani Tanzania ni miji mikubwa tu, Tanga cement inafaidika sana on economies of scale kwa mujibu wa uongozi wao and so will other business too in the future watakaowekeza karibu na line.
In short wakenya wana matatizo makubwa sana, ndio maana kuna wakati hayati aliwafungia hawa watu. If it’s up to them ili gazeti kama nchi yetu ingekuwa na ukabila kama kwao wangeweza chochea ata maswala ya xenophobia Tanzania.
Ni article ya uchokozi isiyo na merit ya hoja zozote za msingi wao ndio wanajua projected volumes za mizigo kushinda nchi husika or what justification kusema reli lazima ibebe 55 million tons annually ipate faida, wanajua kiasi gani ni hela za ndani na kipi mkopo au estimated ya mwaka wa faida, wanafahamu interest ya mikopo yake return ya malipo, wanajua cost za kuendesha hiyo train or what justification imetumika kusema reli lazima ifikie hizo million tonnes ili iwe na faida.
Pure nonsense ingelikuwa nchi nyingine mwandishi anaitwa kuelezea hiyo bias story yake au credibility ya arguments zake; sio uamke na kujiropokea tu kama Ulimwengu kisa una platform.
Like seriously what is wrong with Kenyans always worrying what Tanzania is doing, why this is not the behaviour of our other neighbours Rwanda, Ugandan, Congo or Burundi; it’s always the Kenyans who are worried about other EAC nations economic plans.