Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

Hakuna usafiri wa Bei rahisi Kama wa Reli hapa Duniani, huu Uzi kwa ajiri ya kuponda Mwendazake, wakati Magufuli ndiye Rais Bora kuliko wote
 
Haitaleta faida na hakutegemea kupata hyo faida ata siku moja
Ila italeta heshima na utalii na pia jina letu litainuka juu sana kiasi kwamba mambo mengine itakuwa ni rahis kwetu kuyafanya

Ndo maana ata Diamond kanunua gari la bil2 wakati halimlipi limekaa tu, kijuujuu halimlipi ila kiuhalisia linampa thamani na kufanya deals na watu wa nje wanakuheshim
 
My take: Hivi kwa nini tusiwe tunawawajibisha watu wanaotoa hasara Taifa kwa maamuzi yao ya Hovyo?👇
Hawajibishwi mtu hapa. Kama wewe na hao citizens wako mnaumia nendeni mkajinyonge. Reli inaendelea kujengwa mpaka tutakapokamilisha malengo yetu.
Haya nenda ukaxhukue kopo la asali ulambe chawa wewe.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Haitaleta faida na hakutegemea kupata hyo faida ata siku moja
Ila italeta heshima na utalii na pia jina letu litainuka juu sana kiasi kwamba mambo mengine itakuwa ni rahis kwetu kuyafanya

Ndo maana ata Diamond kanunua gari la bil2 wakati halimlipi limekaa tu, kijuujuu halimlipi ila kiuhalisia linampa thamani na kufanya deals na watu wa nje wanakuheshim
Heshima na Utalii gani? Ya nini sasa ku pump matilioni kwa ajili ya upuuzi kama huo?

Is this African Economics? Yet analaumiwa beberu?
 
Umenena Kweli !! Na hawatakuwa satisfied na maisha yao mpaka wanafukiwa chini ya ardhi !!
Mifisadi mingi na mijizi Serikalini inaumwa vyakula vyenye mafuta na sukari haili Mungu kaidhibiti mipesa inayofisadi.wanyonge isifaidi vitu vitamu iwe nyama yenye mafuta,chakula chenye mafuta,au sukari au chumvi

Maskini chumvi na sukari anaweza hadi bugia kigancha na nyama ya mafuta analia na mafuta anakunywa mijizi na mifisadi ya pesa za umma Mungu kaitandika na maradhi iliyofisaaidi hiyo mimilioni na mabilioni wanayopata yanaumwa na kula chukuchuku chakula haitaki chumvi,wala mafuta mengi wala sukari!! Wanapata

Mwacheni Mungu aitwe Mungu

Maskini anakula chumvi,sukari na nyama ya mafuta kama yote Tajiri fisadi hoi bin taabani hela aliyofisadi kodi.za wanyonge ziwe Rushwa au dhuluma au onevu au fisadia hazifaidi Mungu kamdhibiti kuwa wewe si unajifanya mjanja fisadi na mdhulumu maskini hayo mamilioni au mabilioni Ya kifisadi hutayafaidi.Utayapata lakini hutayafaidi uwe serikalini, bungeni au mahakamani.Mungu lazima atakuvizia kwenye kona na kukupiga Rungu iwe kwenye afya nk
 
Yeyote asiyoona umuhimu wa reli ya SGR iwe kwa sasa au kwa siku zijazo basi atakuwa na maslahi binafsi.
 
Hakuna usafiri wa Bei rahisi Kama wa Reli hapa Duniani, huu Uzi kwa ajiri ya kuponda Mwendazake, wakati Magufuli ndiye Rais Bora kuliko wote
Watajaribu kumchafua sana Magufuli lakini kuna maeneo alifanya vizuri mojawapo ni SGR aweza kuwa hakuwa vizuri maeneo mengine ila la SGR no no no please alikuwa vizuri mno I stand with him personally.
 
Reli uingereza ni ya Serikali
Wanasema Serikali isimiliki biashara ya reli kwa kisingizio kuwa Serikali haitakiwi kufanya biashara inatakiwa ifanywe tu na sekta binafsi waulize Serikali ya uingereza kwa nini Reli na uendeshaji uko chini ya Serikali
 
Hi i kipindi Mkoroni anajenga reli kati alikuwa na uwezo wa kusafirisha tani ngapi?
Piga hesabu kahawa bukoba,pamba mwanza,shinyanga,tumbaku tabora,kigoma sijui alikua anabeba nini,karanga Dom,katani Moro,anapakia melini kwao ujerumani
 
Pesa za SGR zingeunganisha kila wilaya kwa lami, tumepigwa kwenye huu mradi
 
Faida za kiuchumi za SGR zitazidi gharama zake? Kama ndiyo, je ni baada ya miaka mingapi?
Watajaribu kumchafua sana Magufuli lakini kuna maeneo alifanya vizuri mojawapo ni SGR aweza kuwa hakuwa vizuri maeneo mengine ila la SGR no no no please alikuwa vizuri mno I stand with him personally.
 
Naunga hoja mkono kwa 100%
Binafsi niliona halikuwa wazo zuri kwa kuangalia utilization ya reli ya zamani ilikuwa asilimia ngapi? binafsi niliamini tulipaswa kuhakikisha kwanza reli ya zamani ni productive na utilization yake ni maximum na tumeelemewa ndio twende kwenye option B.

Kama tulijenga tu kwa fassion kwa sababu duniani zinajengwa bila technical calculation ni kuchezea tu hela za walipa kodi, watu wetu wanapaswa kuwa na fikra za kazi zaidi.
 
Kuna wakati inabidi tuwe tunatumia vichwa vyetu kufikiri bila kila mara kutegemea vichwa vya wengine, kama hao rafiki zako WB, na wengineo.

Makala hiyo ina mambo muhimu zaidi ya kujadili kuliko kuhoji uhitaji wa usafiri wa reli, hasa hiyo ya SGR.

Reli haijengwi kurudisha faida katika muda mfupi, hili lielewe hivyo.

Mambo muhimu ya kujadili, na ninakubaliana na mwandishi moja kwa moja ni:Utayari wa Tanzania kuiendesha hiyo reli ili ifanye kazi vizuri.
Kama tunavyojua, hili si tatizo katika maswala ya usafiri pekee, lakini ni tatizo kila sehemu, si Bandarini, hata ukarabati wa barabara zinazojengwa, ni matatizo tupu, ndege zinanunuliwa hata haijulikani zitafanya kazi vipi. Haya ndiyo matatizo ya kuzungumzia..

Kwa hiyo, msisitizo ungewekwa katika kuhakikisha kuwa reli itakapokuwa imejengwa, itaendeshwa kwa ufanisi. Wakati hii reli inapojengwa, kungetakiwa pawepo na wataalam wanaandaliwa kuhakikisha uendeshaji wa reli utafana ikishakamilika.
Sasa sijui kama hilo linafanyika, au tunasubiri reli ijengwe, halafu tuweke jamaa zetu wasiokuwa na elimu yoyote katika kuiendesha.

Maswala muhimu ambayo mwandishi kakosa kuyaandika, ni pamoja na hasara itakayotokana na ucheleweshaji wa kukamilika kwa ujenzi wa reli yenyewe.
Kama itachukua miaka 15 kuikamilisha, gharama itakuwa imeongezeka.

Haya ndiyo mambo ya kuhoji, siyo kuhoji uhitaji wa reli yenyewe.
 
Habari za leo,

Gazeti la The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara?

Kwa mujibu wa WB Ili reli ilete faida inatakiwa mzigo angalau Tani mil.55 wakati utafiti unaonyesha Hadi kufikia 2030 EAC yote itakuwa na uwezo wa kusafirisha Tani asilia 14 tuu ya mahitaji Ili upate faida..

Kwamba Kwa nini Magufuli na Serikali yake walichagua expensive option ambayo itakuwa ni liability Kwa Taifa miaka na miaka?

That’s the Tanzania we know and love, huh?
Mkuu the sunk cost galaxy, asante kutuletea hii story ya SGR from the citizen, jee uliwahi kukutana na nyuzi hizi kuhusu SGR yetu?, Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... na hii The SGR War: Wakati Kenya wakisuasua, Uganda wameamua kujenga SGR. Hii ni fursa kwa SGR ya Tanzania. Is it viable? Tuichangamkie? na The SGR War: Magufugame vs Musevenyatta ni Vita Kubwa!. It is a Win Lose War!. When One Wins, the Other Lose, No Win Win Situation!.
na The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

P
 
Back
Top Bottom