raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Huku njiani ukikuta ajali ni lori inatakiwa yapungue barabaranNa pia gharama za kukarabati barabara kuu ya kati zitakoma maana malori yanayoharibu hiyo barabara yatapungua sana !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku njiani ukikuta ajali ni lori inatakiwa yapungue barabaranNa pia gharama za kukarabati barabara kuu ya kati zitakoma maana malori yanayoharibu hiyo barabara yatapungua sana !!
Umesoma makala?Hakuna usafiri wa Bei rahisi Kama wa Reli hapa Duniani, huu Uzi kwa ajiri ya kuponda Mwendazake, wakati Magufuli ndiye Rais Bora kuliko wote
Hawajibishwi mtu hapa. Kama wewe na hao citizens wako mnaumia nendeni mkajinyonge. Reli inaendelea kujengwa mpaka tutakapokamilisha malengo yetu.My take: Hivi kwa nini tusiwe tunawawajibisha watu wanaotoa hasara Taifa kwa maamuzi yao ya Hovyo?👇
Heshima na Utalii gani? Ya nini sasa ku pump matilioni kwa ajili ya upuuzi kama huo?Haitaleta faida na hakutegemea kupata hyo faida ata siku moja
Ila italeta heshima na utalii na pia jina letu litainuka juu sana kiasi kwamba mambo mengine itakuwa ni rahis kwetu kuyafanya
Ndo maana ata Diamond kanunua gari la bil2 wakati halimlipi limekaa tu, kijuujuu halimlipi ila kiuhalisia linampa thamani na kufanya deals na watu wa nje wanakuheshim
Mifisadi mingi na mijizi Serikalini inaumwa vyakula vyenye mafuta na sukari haili Mungu kaidhibiti mipesa inayofisadi.wanyonge isifaidi vitu vitamu iwe nyama yenye mafuta,chakula chenye mafuta,au sukari au chumviUmenena Kweli !! Na hawatakuwa satisfied na maisha yao mpaka wanafukiwa chini ya ardhi !!
Watajaribu kumchafua sana Magufuli lakini kuna maeneo alifanya vizuri mojawapo ni SGR aweza kuwa hakuwa vizuri maeneo mengine ila la SGR no no no please alikuwa vizuri mno I stand with him personally.Hakuna usafiri wa Bei rahisi Kama wa Reli hapa Duniani, huu Uzi kwa ajiri ya kuponda Mwendazake, wakati Magufuli ndiye Rais Bora kuliko wote
Kuna mbwa wanatumwa kumponda JPM humu.Yeyote asiyoona umuhimu wa reli ya SGR iwe kwa sasa au kwa siku zijazo basi atakuwa na maslahi binafsi.
Atakuwa mwehu kifupiYeyote asiyoona umuhimu wa reli ya SGR iwe kwa sasa au kwa siku zijazo basi atakuwa na maslahi binafsi.
Piga hesabu kahawa bukoba,pamba mwanza,shinyanga,tumbaku tabora,kigoma sijui alikua anabeba nini,karanga Dom,katani Moro,anapakia melini kwao ujerumaniHi i kipindi Mkoroni anajenga reli kati alikuwa na uwezo wa kusafirisha tani ngapi?
Watajaribu kumchafua sana Magufuli lakini kuna maeneo alifanya vizuri mojawapo ni SGR aweza kuwa hakuwa vizuri maeneo mengine ila la SGR no no no please alikuwa vizuri mno I stand with him personally.
Binafsi niliona halikuwa wazo zuri kwa kuangalia utilization ya reli ya zamani ilikuwa asilimia ngapi? binafsi niliamini tulipaswa kuhakikisha kwanza reli ya zamani ni productive na utilization yake ni maximum na tumeelemewa ndio twende kwenye option B.
Kama tulijenga tu kwa fassion kwa sababu duniani zinajengwa bila technical calculation ni kuchezea tu hela za walipa kodi, watu wetu wanapaswa kuwa na fikra za kazi zaidi.
Uh - Oh!Naunga hoja mkono kwa 100%
Mkuu the sunk cost galaxy, asante kutuletea hii story ya SGR from the citizen, jee uliwahi kukutana na nyuzi hizi kuhusu SGR yetu?, Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... na hii The SGR War: Wakati Kenya wakisuasua, Uganda wameamua kujenga SGR. Hii ni fursa kwa SGR ya Tanzania. Is it viable? Tuichangamkie? na The SGR War: Magufugame vs Musevenyatta ni Vita Kubwa!. It is a Win Lose War!. When One Wins, the Other Lose, No Win Win Situation!.Habari za leo,
Gazeti la The Citizen limeandika makala kuhoji busara iliyotumika kuamua kujenga SGR Wakati tafiti za Kitaalamu zinaonesha tutapata Hasara?
Kwa mujibu wa WB Ili reli ilete faida inatakiwa mzigo angalau Tani mil.55 wakati utafiti unaonyesha Hadi kufikia 2030 EAC yote itakuwa na uwezo wa kusafirisha Tani asilia 14 tuu ya mahitaji Ili upate faida..
Kwamba Kwa nini Magufuli na Serikali yake walichagua expensive option ambayo itakuwa ni liability Kwa Taifa miaka na miaka?
That’s the Tanzania we know and love, huh?