Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

wewe unasoma darasa la ngapi?
Serikali iliacha kupima corona na kutoa takwimu na hiyo ndio ilikuwa njia ya kujua hali ya maambukizi ikoje nchini,sasa haya madai ya corona ilipungua ni kipi kilichotumika kujua hilo bila kupima na kuwa na takwimu?
 
Oh! No, come to your real sense. No one has fallen president Magufuli. He is standing firmly to fight against this tricky mission of white race to depopulate Africans.

The president is vigorously fighting for our survival. His PhD is exactly at proper battle field. It is a PhD of thinking and reasoning.

Don't you know the history of these white race what they did to our ancestors? They castrated their brain through the education systems of REMEMBERING instead of THINKING.

Now they are coming with another plan of health education system that can destroy Africans generation. Their plan is to eliminate you and your beautiful wife. Kindly applaud to president Magufuli.

To support my points please look into the following quotations of Bill Gates:

Home/1. Free Content/Bill Gates: We Must Depopulate Africa To Save Europe

Bill Gates: We Must Depopulate Africa To Save Europe

July 10, 2017 1. Free Content, Health, New World Order, Vaccines

Bill Gates: We Must Depopulate Africa To Save Europe

News

July 8, 2017 1:59 pm

Source: Neon Nettle
Billionaire Bill Gates has spoken out about the immigration crisis in Europe saying that the continent will be “devastated by African refugees” unless severe and immediate action is taken.

In an interview with German newspaper, Welt am Sonntag, Gates suggested that European nations must work together to reduce the population growth in Africa by committing more in overseas aid.
In a total backtrack of his usual New World Order style open border policies, Gates is now suggesting that the mass influx of migrants into Europe from Africa is threatening to overwhelm countries like Germany who have welcomed globalism.
Bill Gates recently caused a huge controversy in Africa when the Bill and Melinda Gates Foundation was accused of secretly sterilizing millions of women in Africa by doctors in Kenya after abortion drugs were discovered in Tetanus vaccines.
Could this have been a test for his proposed depopulation program?
Zero Hedge reports: According to Gates, the combination of explosive population growth in Africa combined with Europe’s notoriously generous open-border migrant welfare programs – as illustrated by the ‘German attitude to refugees’ have incentivised migrants to flood into Europe.
“On the one hand you want to demonstrate generosity and take in refugees, but the more generous you are, the more word gets around about this – which in turn motivates more people to leave Africa.”
While Germany has been one of the pioneers of the open door policy, it cannot “take in the huge, massive number of people who are wanting to make their way to Europe.
”Thus Gates advised European nations to take action in order to make it “more difficult for Africans to reach the continent via the current transit routes.”
Bill Gates
How to stop them?
Gates, whose third world vaccination programs have contributed to Africa’s population explosion, suggested that heaping tons of money onto Africa while taking steps to prevent transit into Europe is the best solution.
After calling Germany’s commitment to allocate 0.7% of GDP towards foreign aid “phenomenal,” Gates encouraged “other European nations to follow its example.”
(Because Africa is of course known for efficiently managing billions in foreign aid without corruption to ensure that their people are taken care of. Surely Europe’s donations will create an Africa that rivals downtown Hamburg.)
ItalyGates’ comments come as European leaders discuss the surge of Africans washing up on Italy’s shores every week, with Rome calling on other EU nations to accept more refugees.
On Sunday, Italy’s interior minister Marco Minniti begged for help – telling an EU summit in Tallinn “We are under enormous pressure”
“If the only ports where refugees are taken to are Italian, something is not working. This is the heart of the question” –Marco Minniti
Italy has taken in over 82,000 migrants in the first six months of 2017, 19% more than the same period last year.
Meanwhile, a spokesperson for the rescue organization SOS Mediterranee which runs an aid vessel along with Doctors Without Borders said that it would be logistically difficult to redirect migrants to other European ports.If the order came “we would have no choice, we would obey. But it would be completely impossible with more than 1,000 people on board,” Mathilde Auvillain told AFP.
So there you have it
After years of liberal open-border policies predictably resulted in a flood of North African (economic) migrants into Europe, the EU is panicking. And the solution to preventing millions of migrants from upgrading their lifestyle by picking up sticks and moving is to throw more money at Africa…
However, as SHTFplan’s Mac Slavo asks, does this represent a major shift in the way globalists view immigration? And if so, why would this shift occur?
If I were to guess, it has nothing to do with the fact that mass migration is ruining Europe and Western civilization.
The globalists have always advocated for the disintegration of Western values and borders. It has to do with the indirect results of mass immigration.
The refugee crisis is what has spurred the most resistance to globalism in recent years. It has ignited countless nationalistic political parties in Europe.
It has contributed to Brexit, the election of Donald Trump, and the slow motion fracturing of the EU.What Bill Gates is saying, is a sign that the globalist may have realized that they’ve made a fatal mistake.
By promoting open borders, they’ve sown the seeds for their own destruction. Their decision to allow millions of refugees into Europe has solidified populist conservative movements across the West that threatens to dethrone them. Now they’re trying to close this can of worms.
Unfortunately for them and us, it may be too late.

Original Article

ABORTION DRUGS BILL AND MELINDA GATES FOUNDATION BILL GATES BORDER POLICIES DEPOPULATION PROGRAM GLOBALISM IMMIGRATION MIGRANTS NEW WORLD ORDER STERILIZATION WELT AM SONNTAG ZERO HEDGE
 
N
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo tunayoiita chanjo inayotengenezwa na kampuni ya Pfizer ikishirikiana na kampuni ya BioNTech ya ujerumani si sawa na chanjo zinazojulikana ambazo hutumia virusi vya ugonjwa huo huo vilivyopunguzwa makali (attenuated live viruses). Hawa wanatumia genetically engineered manufactured synthetic genetitically coded mRNA to instruct our DNA in our cells to produce certain proteins which they think might protect or cure certain diseases including cancer disease.

Utafiti wa kutumia synthetic mRNA kutibu au kukinga magonjwa ya cancer, rabies, zika etc ni wa siku nyingi. Dawa au chanjo za magonjwa hayo zilizalishwa lakini hazikuweza kupata approval ya FDA. Kwa sababu ya taharuki ya janga hili la covid - 19 FDA imezipa emergency approval dawa/ chanjo hizo za mRNA. Hazijapitia hatua zote za mchakato za usalama kama inavyotakiwa kisayansi.

Chanjo za covid 19 zinazotengenezwa China na Urusi ndizo chanjo halisi zinazotumia live attenuated sars- cov-2, kirusi kinachosababisha covid-19. Urusi na Uchina kamwe haziwezi kutumia hizo chanjo za mRNA kutoka Pfizer/ BioNTech. Ni kipi cha ajabu Tanzania chini ya rais mwanasayansi wa level ya PhD kuzikataa au kuzitilia mashaka hizo chanjo zao za mRNA. Kama tutaamua kuchanja tutatumia chanjo toka China au Russia kwani hizo hazichezi na DNA zetu. Chanjo zinazotumia live attenuated viruses ni rahisi kuzi verify. Hizo za mRNA huwezi ukatambua code (ujumbe) zilizobebeshwa hizo RNA.

Halafu ukweli ni kuwa Afrika ugonjwa huu si tishio hata kidogo. Takwimu ambazo tumelazimishwa na WHO kwamba hata wale ambao hawana ugonjwa lakini wame test positive kwa baadhi ya antigens za cov-2 tuwahesabu kama ni wagonjwa (covid-19), ni kitu ambacho si sahihi na hakikubaliki kisayansi. Unachokonolewa pua kutafuta kama una hizo antigen wakati antigen hizi ungaliweza kuzipata kwenye kinyesi au kwa kuchokonolewa kwenye ******. China sasa hivi wanatumia kipimo cha kinyesi au rectal swab which is easier and more convinient. Halafu WHO inatulazimisha tupimane sana na vipimo hatupewi bure, ni za ghari takribani Tsh laki moja kila kipimo - wanatukopesha. Takwimu wanazozitaka siyo za prevalence wala incidence ya ugonjwa au wa virusi hao wa cov-2 kiepidemolojia nakisayansi. Ndiyo maana Trump aliiondoa USA kwenye shirika hili la WHO kwa kuvunda kwake kuhusu suala hili.

Hata kwa hizo takwimu tulizolazimishwa kukusanya bado Afrika corona si tatizo la kutufanya tutaharuki. Kwa mfano Kenya ambayo population yake ni 55 million kwa kipindi cha mwaka mmoja ni watu elfu 90 tu ndiyo wame test kuwa na antigen za corona kwenye pua zao, yaani elfu nane tu kwa mwezi! Na wanaofikiriwa walikufa kwa corona hawazidi elfu moja kwa mwaka. Na wengi wa hawa waliokufa walikuwa na magonjwa yao mengine kama kisukari na pumu. Lakini sasa woga na taharuki iliyojengwa kuhusu corona imesababisha madhara makubwa zaidi. Wagonjwa wo wote wenye changamoto la upumuaji (dypsnoea) wamekimbiwa au kuogopwa na wauguzi/ madaktari na kupelekea wasipate huduma sahihi na kusababisha vifo vyao etc

Taharuki hii kwa nchi za Afrika ndiyo wazungu wanataka ili wapate watu wa kujaribia dawa au chanjo za ugonjwa huu na pia kupiga pesa. JPM kawagusa penyewe. Ndiyo maana hawakuchelewa kuwawaya - mara oh jiandae kupokea chanjo za msaada (lakini mkopo) za mRNA etc. Kanisa katoliki kupitia Padre machachari anayeitwa Kitima, kwa uropokaji wake, limemletea mazingira magumu sana rais wetu. Ugonjwa huu hauna tiba wala kinga. Nchi ilikuwa imetulia imejiweka mikononi mwa Mungu. Ghafla Padre Kitima wa kanisa katoliki la tanzania anasema barakola, social distancing na lockdown ndiyo za maana. Wazungu wamefanya hivyo hazikusaidia chochote. Sweden hawakufanya hivyo kama sisi and are much better! Waafrika waliouawa kwa risasi kwa sababu ya kukiuka masharti ya lockdown ni wengi kuliko waliouawa na corona.
 
Nikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
Pole sana, kama Trump's ametokea Marekani na taifa lina miaka karibu miaka 300, wapo Magufuli wengi wanakuja.

Mwanasiasa anakufanya ukatae nchi yako, omba maisha mafupi, yakiwa marefu utataabika sana huko mbeleni.
 
Bingwa wa udaktari wa nini?
Radiology.

Lakini sihitaji daktari kujua kwamba kirusi kikiachiwa bila watu kupimwa, kutibiwa kwa dozi maalum na kupewa chanjo kinaweza ku mutate out of control na kutengeneza strains mpya kwa urahisi zaidi kuliko pale watu wanapopimwa, wanapotibiwa kwa dozi maalum na kupewa chanjo.

Wenzetu angalau wanapima, ikitokea strain mpya wanajua, wanashirikiana na WHO na nchi nyingine, wanafanya DNA sequencing.

Sisi tunang'ang'ania tumeishinda "Corona" kwa maombi kwa Mungu!
 
Kumbe haya magazeti hayaandiki tena ziara za Lissu Ulaya?

Sasa wako bize kuandika habari za mtukufu Magufuli
Ana utukufu gani? Kwa sababu wazungu wakitaka kutuua hawapati tabu, wanaweka tu vimelea vya magonjwa kwenye malami ya barabara ,au vyakula au madawa. 95% ya dawa tunazotumia kutibu magonjwa na vifaa vyake vinatoka kwa wazungu, hivyo nashangaa wanaoshikilia misimamo kwamba chanjo ya korona wazungu wanania ya kutumaliza.yeye mwenyew ukimsachi utamkuta na madawa ya nje ndio yanayomfanya spate nguvu, atupe basi atumie miti shamba
 
Emmanuel Macron Rais wa Ufaransa nae ameiwashia moto hiyo chanjo ya corona
 
mh makubwa
 
Nikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
Mimi najitambukisha kutoka Tanzania mpaka Usukuma.

Sasa wewe ungeweza kujitambulisha Msukuma hata hapo Tanzania?

Wakati Mzee Baba kashatuchafulia jina letu zuri tulilolijenga kwa siku nyingi sana?

Wasukuma tunajulikana wath poa, watu wa matani, watu wa kutumia hela kama tunazo, watu wa kuwapa watu good time kama tunaweza, watu wapole, watu wa kuishi kijamaa, kindugu.

Halafu mara paap, anakuja Mnyamulenge mmoja anatuharibia jina kwa tabia zote ambazo si za Kisukuma.

Ungeweza kujitambuiisha Msukuma wewe?
 

Bingwa wa mionzi na ugonjwa wa kirusi wapi na wapi.

Hususan daktari aliyeko USA ambako wao wana "a bigger fish to fry." Angejikita na ubingwa wake kusaidia huko huko USA wanakoongoza dunia kwa maafa ya janga hili.

Sayansi yako ya viral mutation ni potofu. Kama Watanzania hawapimwi, hawana chanjo, hawatibiwi, basi kirusi kama kipo kitasambaa, kuambukiza na kustawi kwa urahisi zaidi na hivyo hakutakuwa na shinikizo la kubadilika, evolutionary pressure, ya kuzalishwa jamii mpya ambayo ingepambana na mazingira magumu ya maisha ya kirusi katikati ya chanjo, dawa, barakoa, na umbali wa kimwili.

Na hata kama ingezalishwa jamii mpya ya kirusi bado huna hakika kama itakuwa hatari zaidi.

Nataka kuamini uliyoyasema hujayapata kwa bingwa wa mionzi.

Tanzania bado iko vizuri kwenye janga hili kinyume na bashiri na matarajio ya wengi.
 
Kisayansi mtu akipata chanjo ya ugonjwa Fulani ina maana huyo mtu hawezi tena kusumbuliwa na huo ugonjwa

Sasa hao wazungu kama wamepata chanjo ya covid19 si wajichanje wao wakija Africa hawataweza kupata corona na sisi tukienda huko hatutawambikiza corona kwa sababu wao wameshanjwa

Sasa kwa nini watulazimishe na sisi tuchanjwe JPM yupo sahihi hi ni biashara ya mabeberu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…