Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Jamani mzee akiongea yeye ni taasisi watu walimpinga sana sana alipokataa lock down,wale walijifungia KIkO wapi? Mzee haongei tu kwasababu anaongea tuache kupinga kila kitu...haters kwam mmezuiwa kuvaa barakoa ,kujisinitize na kunawa? Mzee hivi mzee that jaman mpumzishen mzee.
 
Tatizo sio yeye. Ni tatizo la watu wa kanda ya ziwa. Wengi wanaendaga kienyejienyeji tu
 
Wewe ni dakitari wa nini?
Ungeuliza mimi ni daktari wa nini kama ningesema mimi ni daktari. Najifunza siku zote kujenga hoja inayosimama bila kushikiliwa na mkongojo wa mimi ni fulani kitaaluma.

Bado chanzo chako, daktari wa mionzi, au wewe mwenyewe, hamjaweza kushawishi ni kwa nini Tanzania inaweza kupata jamii mpya ya kirusi.
 
Ungeuliza mimi ni daktari wa nini kama ningesema mimi ni daktari. Najifunza siku zote kujenga hoja inayosimama yenyewe bila kutanguliza mkongojo wa mimi ni fulani kitaaluma.

Bado chanzo chako, daktari wa mionzi, au wewe mwenyewe, hamjaweza kushawishi ni kwa nini Tanzania inaweza kupata jamii mpya ya kirusi.
Nimekuuliza wewe ni daktari wa nini, kwa sababu umemsema daktari wa radiology kuongelea mambo ya virusi ni vitu tofauti.

Wakati hata hujui alisema hilo kwa kunukuu wapi.

Nikajua labda wewe umemzidi udaktari daktari wa radiology kwenye udaktari unaohusiana na virusi zaidi.

Kumbe unazuga tu.
 
Nimekuuliza wewe ni daktari wa nini, kwa sababu umemsema daktari wa radioligy kuongelea mambo ya virusi ni vitu tofauti.

Nikajua labda wewe umemzidi udaktari daktari wa radiology kwenye udaktari unaohusiana na virusi zaidi.

Kumbe unazuga tu.
Huhitaji kumzidi daktari wa mionzi ili kujua kwamba virusi na mionzi ni maeneo tofauti.

Ndio maana maelezo yako na ya daktari wa mionzi wa Marekani yamepotoka.

Kama Tanzania kuna kirusi kinasambaa kiholela, hakuna tahadhari zinazochukuliwa, hakuna chanjo, na hakuna tiba basi kirusi hakina shinikizo la kubadilika, evolutionary pressure. Kitaendelea kistawi.

Daktari wa mionzi wa USA ni vema ajaribu kusaidia mawazo Wamarekani wenzie. Hatumhitaji.
 
Huhitaji kumzidi daktari wa mionzi ili kujua kwamba virusi na mionzi ni maeneo tofauti.

Ndio maana maelezo yako na ya daktari wa mionzi wa Marekani yamepotoka.

Kama Tanzania kuna kirusi kinasambaa kiholela, hakuna tahadhari zinazochukuliwa, hakuna chanjo, na hakuna tiba basi kirusi hakina shinikizo la kubadilika, evolutionary pressure. Kitaendelea kistawi.

Daktari wa mionzi wa USA ni vema ajaribu kusaidia Wamarekani wenzie kupambana na janga hili. Hatuhitaji mawazo yake.
Hujui hata alisema hilo kwa kunukuu wapi, una dismiss tu.

Kama vile daktari wa mionzi hawezi kusoma jarida la virology.

Halafu una assume daktari ni Mmarekani na si Mtanzania.

You are an ignorant airbag.
 
You are an ignorant airbag.
Umeshikwa pabaya.

Sasa unamrusha kimanga daktari wa mionzi wa Marekani kwamba aliyoyasema yanaweza kuwa si yake bali ni ya jarida!

Weka jarida!

Sayansi yako na hoja yako ya Tanzania kutengeneza kirusi kipya ilikuwa potofu, umechemka.

Wewe, daktari wa mionzi wa Marekani, na jarida alilolisoma daktari wa mionzi, wekeni msingi wa kisayansi, toeni sababu ni kwa nini kirusi cha Tanzania kitajongea kutengeneza jamii mpya.

Na mueleze ni kwa nini aina mpya ya kirusi itakuwa hatari zaidi.
 
Kwanza ume assume daktari Mmarekani.

Halafu hujui kusoma kwa ufahamu.
Hakuna nilipokwambia kwamba kasoma katika jarida, wewe tu hujui kusoma kwa ufahamu.

You are an insufferable bore.

Get off my dilsnick you tedious troll.

Straight to ignore list.

From here I will not see your posts.
 
From here I will not see your posts.

Hatimae umechomoa!

Ulitaka kupitisha evolutionary virology za uongo!

Ulichemka!

Wewe, daktari wa mionzi wa USA na jarida ulilosema inawezekana alilisoma mmeshindwa kutueleza:

1. Ni kwa nini kirusi cha Tanzania kita mutate

2. Mnajuaje kiki mutate kitakuwa hatari zaidi.

Hoja ya kisayansi iliyonyooka zaidi ni kwamba kirusi cha Tanzania, kama kipo, hakina shinikizo la kubadilika, evolutionary pressure, kwa sababu kimekuwa katika mazingira rafiki.

Na kikibadilika hujui kama kitakuwa kibaya zaidi.
 
Acha uoga mkuu hawana cha kufanya anachofanya Raisi Magufuli ni kuwaamsha viongozi wa afrika na kuwapa confidence za kutowaogopa wazungu hiyo ni big lesson kwa viongozi wenye kufikiri kwani siku moja viongozi wote wa afrika watakuwa kama Raisi Magufuli na tutalikomboa bara letu la giza.
Kuna mijitu mnamwona Jiwe kama kimungu mtu fulani hivi!!!!!
Mbele ya Wazungu Magufuli ni chui wa karatasi tu.
Haya mataifa ya wenzetu waloendelea wakiamua ku-deal na Tanzania kwa upuuzi wa Rais asiyejitambua hali itakuwa mbaya sana!!!
Kama hujui impact yake go and ask the Zimbabweans.....!???
 
Nikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!

Unasema umetoka wapi? Wakati huo passport yako inasema umetoka wapi? Mitanganyika bana
 
A rat in foreign countries...wenzio tunaenda na kurud na tunaipenda nchi yetu...what an a.s.shole
Kweli huyu mbabe ni wa ajabu kweli we unadhan watanzania sisi ni wajinga lakin wewe ndo utakuwa mtumwa hadi unaona aibu asili yako
 
Harafu mtu huyo huyo anashinda nchi masikini ama kukopa au kuomba asamehewe madeni.Kujitoa ufahamu nayo ni taaluma eti
Hamjui mlitendalo mngekuwa mnaoneshwa ukweli mngemwomba msamaha.kiufupi hayo ni mawazo yenu na mnauhuru wa kuongea mtakavyo lakin sio tanzania tu waliokataa chanjo za wazungu mchina awezi ata siku moja kununua hizo chanjo
 
Ndiyo mkuu mchina hawezi kwa sababu anaweza kutegeneza ya kwake,je sisi au nyungu ndo kinga ya corona huku shithole? Kama ni ndiyo Basi waanzishe vitengo vya kujifukiza kwenye hospital zetu ili hata sisi tusiojua namna ya kutumia hiyo technology tukahudumiwe huko
 
Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu.

Gazeti limenukuu kauli za Magufuli kama zilivyo na hapa ndio kuna sehemu wamenukuu Magufuli akiongelea chanjo ya cancer kitu ambacho, kwa maoni yangu, kinamuweka Magufuli katika mtazamo hasi kwani kuongelea chanjo ya cancer ni jambo la kushangaza ukizingatia cancer sio ugonjwa wa kuambukiza au unaosababishwa na vimelea vya maradhi (pathogens).

Hii ni moja ya aya katika gazeti hilo:

“If the white man was able to come up with vaccinations, then vaccinations for AIDS would have been brought, tuberculosis would be a thing of the past, vaccines for malaria and cancer would have been found,” President John Magufuli said during an event in his hometown.

He also warned against Tanzanians being used as “guinea pigs” for the vaccines.
kuna tatizo gani hapo si maoni yake kama kiongozi wa nchi mbona hoja murua sana hiyo chanjo ya ukimwi iko wapi?
 
Alichosema Magufuli siyo msimamo wa Watanzania. kama ni suala la kuwa na nongwa na wazungu hilo ni suala lake yeye na vibaraka wake si suala la watanzania wote.
kiufupi wazungu hawatupendi ila sisi tunajipendekeza kama bila shaka unaishi ughaibuni
change your mind you the son of africa
 
Kuna mijitu mnamwona Jiwe kama kimungu mtu fulani hivi!!!!!
Mbele ya Wazungu Magufuli ni chui wa karatasi tu.
Haya mataifa ya wenzetu waloendelea wakiamua ku-deal na Tanzania kwa upuuzi wa Rais asiyejitambua hali itakuwa mbaya sana!!!
Kama hujui impact yake go and ask the Zimbabweans.....!???

Raisi Magufuli ni kiongozi mkuu wa nchi sina haja ya kumpinga hata kidogo na nina mpenda. Hata nikimpinga sita pata faida yoyote cha zaidi nitajiingizia mikosi kwenye utafutaji wangu wa rizki na maisha kwani Raisi wa nchi ni moja kati ya tunu za taifa kwahiyo ili mambo yangu yaende vizuri kama raia wa Tanzania lazima niende sawa na kanuni za tunu.

Tazama watu wanaopinga serikali mara nyingi wanamaisha magumu sana hatakama wamesoma, kutokana tu na kudharau kwao tunu huishia kuwa watu wa kulalamika na baraka kuwaondokea. Kama ulikuwa hujui baraka zote kutoka kwa mungu zinaanzia kwa Kiongozi wa nchi alafu kupitia yeye zinawafikia wananchi.
 
Back
Top Bottom