Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Weka link basi, unatuletea nukuu bila ya chanzo chake.
 
Wewe ni dakitari wa nini?
 
Kuna chanjo ya kansa ya mlango wa kizazi tunasubir ya kansa zote na ukimwi ase
 
Poleni kina ngosha.
Mimi ningekuwa ngosha ningejipachika Unyantuzu au Ukerewe!
 
Pole sana, kama Trump's ametokea Marekani na taifa lina miaka karibu miaka 300, wapo Magufuli wengi wanakuja.

Mwanasiasa anakufanya ukatae nchi yako, omba maisha mafupi, yakiwa marefu utataabika sana huko mbeleni.
Anatutia sana aibu huyu. Ni fedheha!!
 
Pumbavu uhamie huko huko. Hivi mama yako akiwa mchafu utashindwa kumtamburisha kwa rafiki zako kwa sababu ya muonekano wake? Uzalendo kwa nchi yako ni kusimama na kuitetea nchi yako hata Kama imekosea.
Anayeibisha nchi ni pamoja na wapambe wake misukule wanaoshangilia chochote anachosema!
 
Hata hivyo hatuhitaj watu wa aina kama yako mana ni aibu kwa nchi kubwa kama tz kuwa na kilaza kama wewe..yaan ww useme unatokea kenya
Tanzania kwa sasa huko nje ni kinyaa tupu. Takataka. Fedheha!
 
Oyaaa Furahin.


Kuna DMO kasepa jana,
JANA KAFA KAFA KWA SHIDA YA KUPUMUA.


tunaelekea mahali pazur ngoja ichanganye kwanza, kuna watu wataanza kuongea ukweli nakutubu[emoji23]
Kila wiki naweka kreti moja la Serengeti lite stoo, najua stoo haitajaa kabla jiwe hajafa kwa kovidi, itakuwa ni sherehe, nitakunywa nikishindwa nazikoga zote
 
Ubishi gani mkuu? maana watu wanakubaliana kuwa mwaka jana Tz ilifanikiwa kudhibiti corona maana yake huyo unayeona mbishi ni kwamba anajua nini anakifanya.
Nenda pale Bugando kama hamna wodi ya wagonjwa wa Corona wanaoitwa wagonjwa wa Pneumonia.
 
Nenda pale Bugando kama hamna wodi ya wagonjwa wa Corona wanaoitwa wagonjwa wa Pneumonia.
Wagonjwa wa pneumonia hawapo Bugando tu,juzi kati tu ndugu yangu alikuwa na pneumonia na hakuwa na bugando.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…