lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,748
- 3,460
Ungeuliza mimi ni daktari wa nini kama ningesema mimi ni daktari. Najifunza siku zote kujenga hoja inayosimama bila kushikiliwa na mkongojo wa mimi ni fulani kitaaluma.Wewe ni dakitari wa nini?
Nimekuuliza wewe ni daktari wa nini, kwa sababu umemsema daktari wa radiology kuongelea mambo ya virusi ni vitu tofauti.Ungeuliza mimi ni daktari wa nini kama ningesema mimi ni daktari. Najifunza siku zote kujenga hoja inayosimama yenyewe bila kutanguliza mkongojo wa mimi ni fulani kitaaluma.
Bado chanzo chako, daktari wa mionzi, au wewe mwenyewe, hamjaweza kushawishi ni kwa nini Tanzania inaweza kupata jamii mpya ya kirusi.
Huhitaji kumzidi daktari wa mionzi ili kujua kwamba virusi na mionzi ni maeneo tofauti.Nimekuuliza wewe ni daktari wa nini, kwa sababu umemsema daktari wa radioligy kuongelea mambo ya virusi ni vitu tofauti.
Nikajua labda wewe umemzidi udaktari daktari wa radiology kwenye udaktari unaohusiana na virusi zaidi.
Kumbe unazuga tu.
Hujui hata alisema hilo kwa kunukuu wapi, una dismiss tu.Huhitaji kumzidi daktari wa mionzi ili kujua kwamba virusi na mionzi ni maeneo tofauti.
Ndio maana maelezo yako na ya daktari wa mionzi wa Marekani yamepotoka.
Kama Tanzania kuna kirusi kinasambaa kiholela, hakuna tahadhari zinazochukuliwa, hakuna chanjo, na hakuna tiba basi kirusi hakina shinikizo la kubadilika, evolutionary pressure. Kitaendelea kistawi.
Daktari wa mionzi wa USA ni vema ajaribu kusaidia Wamarekani wenzie kupambana na janga hili. Hatuhitaji mawazo yake.
Umeshikwa pabaya.You are an ignorant airbag.
Kwanza ume assume daktari Mmarekani.Umeshikwa pabaya.
Sasa unamrusha kimanga daktari wa mionzi wa Marekani kwamba aliyoyasema yanaweza kuwa si yake bali ni ya jarida!
Weka jarida!
Sayansi yako na hoja yako ya Tanzania kutengeneza kirusi kipya ilikuwa potofu, umechemka.
Wewe, daktari wa mionzi wa Marekani, na jarida alilolisoma daktari wa mionzi, wekeni msingi wa kisayansi, toeni sababu ni kwa nini kirusi cha Tanzania kitajongea kutengeneza jamii mpya.
Na mueleze ni kwa nini aina mpya ya kirusi itakuwa hatari zaidi.
From here I will not see your posts.
Kuna mijitu mnamwona Jiwe kama kimungu mtu fulani hivi!!!!!Acha uoga mkuu hawana cha kufanya anachofanya Raisi Magufuli ni kuwaamsha viongozi wa afrika na kuwapa confidence za kutowaogopa wazungu hiyo ni big lesson kwa viongozi wenye kufikiri kwani siku moja viongozi wote wa afrika watakuwa kama Raisi Magufuli na tutalikomboa bara letu la giza.
Harafu mtu huyo huyo anashinda nchi masikini ama kukopa au kuomba asamehewe madeni.Kujitoa ufahamu nayo ni taaluma etiYeye anadai nchi hii Ni tajiri Sana. Jinga kabisa
Nikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
Kweli huyu mbabe ni wa ajabu kweli we unadhan watanzania sisi ni wajinga lakin wewe ndo utakuwa mtumwa hadi unaona aibu asili yakoA rat in foreign countries...wenzio tunaenda na kurud na tunaipenda nchi yetu...what an a.s.shole
Hamjui mlitendalo mngekuwa mnaoneshwa ukweli mngemwomba msamaha.kiufupi hayo ni mawazo yenu na mnauhuru wa kuongea mtakavyo lakin sio tanzania tu waliokataa chanjo za wazungu mchina awezi ata siku moja kununua hizo chanjoHarafu mtu huyo huyo anashinda nchi masikini ama kukopa au kuomba asamehewe madeni.Kujitoa ufahamu nayo ni taaluma eti
Ndiyo mkuu mchina hawezi kwa sababu anaweza kutegeneza ya kwake,je sisi au nyungu ndo kinga ya corona huku shithole? Kama ni ndiyo Basi waanzishe vitengo vya kujifukiza kwenye hospital zetu ili hata sisi tusiojua namna ya kutumia hiyo technology tukahudumiwe hukoHamjui mlitendalo mngekuwa mnaoneshwa ukweli mngemwomba msamaha.kiufupi hayo ni mawazo yenu na mnauhuru wa kuongea mtakavyo lakin sio tanzania tu waliokataa chanjo za wazungu mchina awezi ata siku moja kununua hizo chanjo
Kwani passport mtu anaenda anaionesha barabaraniUnasema umetoka wapi? Wakati huo passport yako inasema umetoka wapi? Mitanganyika bana
Kwani passport mtu anaenda anaionesha barabarani
kuna tatizo gani hapo si maoni yake kama kiongozi wa nchi mbona hoja murua sana hiyo chanjo ya ukimwi iko wapi?Hili gazeti limechapisha kauli ya Magufuli kuhusu ugonjwa wa Corona na chanjo ya ugonjwa huu.
Gazeti limenukuu kauli za Magufuli kama zilivyo na hapa ndio kuna sehemu wamenukuu Magufuli akiongelea chanjo ya cancer kitu ambacho, kwa maoni yangu, kinamuweka Magufuli katika mtazamo hasi kwani kuongelea chanjo ya cancer ni jambo la kushangaza ukizingatia cancer sio ugonjwa wa kuambukiza au unaosababishwa na vimelea vya maradhi (pathogens).
Hii ni moja ya aya katika gazeti hilo:
“If the white man was able to come up with vaccinations, then vaccinations for AIDS would have been brought, tuberculosis would be a thing of the past, vaccines for malaria and cancer would have been found,” President John Magufuli said during an event in his hometown.
He also warned against Tanzanians being used as “guinea pigs” for the vaccines.
kiufupi wazungu hawatupendi ila sisi tunajipendekeza kama bila shaka unaishi ughaibuniAlichosema Magufuli siyo msimamo wa Watanzania. kama ni suala la kuwa na nongwa na wazungu hilo ni suala lake yeye na vibaraka wake si suala la watanzania wote.
Kuna mijitu mnamwona Jiwe kama kimungu mtu fulani hivi!!!!!
Mbele ya Wazungu Magufuli ni chui wa karatasi tu.
Haya mataifa ya wenzetu waloendelea wakiamua ku-deal na Tanzania kwa upuuzi wa Rais asiyejitambua hali itakuwa mbaya sana!!!
Kama hujui impact yake go and ask the Zimbabweans.....!???