Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Unasema umetoka wapi? Wakati huo passport yako inasema umetoka wapi? Mitanganyika bana
Passport unaionyesha kwenye immigration desk tu ndugu, siyo mtaani unakoishi na watu!!
 
Kuna chanjo ya kansa ya mlango wa kizazi
 
MAGUFULI ANA HAKI YA KUSEMA HAKUNA MZUNGU ANAYEPENDA WEWE UENDELEE KUWEPO UMILIKI MALIGAFI AMBAZO WAO KILA SIKU WANAWAZA WATACHUKUAJE. MAGULI NAONA HAJAKASHIFU BADO INATAKIWA AWAAMBIE KUWA HATUTAKI NA HATUZIPENDI NA HATUTAPOKEA MILELE KWA NJIA YEYOTE ILE KILA TAIFA LIPO HURU
 
Tanzania Ishakuwa ni ya ajabu haijawahi hata kufikirika kuwa itakuja kufikia hatua hii. Yaani ni aibu kwa taifa kuwa na kiongozi wa aina hii ambaye ni too primitive ni aibu sana
 
Magufuli ni Comred anayeogopwa na mabeberu, anawafanya wanasayansi wajitume kutafuta chanjo za magonjwa mengine yaliyoua mamilioni ya watu.
ila kweli kama iyo chanjo iko effective mbona bado wanavaa barakoa
 
Hii inasaidia kuitangaza nchi, kwani lazima waandike na wasome hata kama hawapendi.
 
kiufupi wazungu hawatupendi ila sisi tunajipendekeza kama bila shaka unaishi ughaibuni
change your mind you the son of africa
sisi wenyewe mbona visa vya chuki kati ya watawala na watawaliwa vimetamalaki? huko ni kupendana? yuko wapi ben saanane, mawazo, azory? lissu kama si mkono wa Mungu angekuwa hai leo? hiyo ni chuki ya wazungu kwetu? kasoro tunazo wenyewe kisingizio wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…