Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,778
- 1,119
Umeufyata mkia - unaogopa sana! Kamriport kwa Amsterdam.Huyu jamaa atatuponza kama taifa amewatukana sana hao jamaa, awe anaweka akiba ya maneno au lasivyo watatushughulikia ipasavyo muda si mrefu.
Wilaya ya musoma vijjn.Sehemu gani amefariki?
Hivi watu wengine wanapokaribia kufa huwa hawana matatizo ya kupumua? Yaani wanaendelea kupumua vizuri tu?Oyaaa Furahin.
Kwakua korona imeanza kuwala na Madaktari[emoji23]
Kuna DMO kasepa jana,
JANA KAFA KAFA KWA SHIDA YA KUPUMUA.
tunaelekea mahali pazur ngoja ichanganye kwanza, kuna watu wataanza kuongea ukweli nakutubu[emoji23]
Achana na ujanja ujanja .H
Hivi watu wengine wanapokaribia kufa huwa hawana matatizo ya kupumua? Yaani wanaendelea kupumua vizuri tu?
Kucha kwingi... (utamalizia mwenyewe huko)Kumbe haya magazeti hayaandiki tena ziara za Lisu Ulaya?
Sasa wako bize kuandika habari za mtukufu Magufuli
Huyo dada akiwa kwenye joto anaropoka sanaKucha kwingi... (utamalizia mwenyewe huko)
Yaani unamuita mtu mtakatifu wakati Hata Yesu mwenyewe alikuwa akiwakataza sana wanafunzi wake wasimsifu mno kupitiliza
Unaendaga nchi gani nawewe kabwela mwenzangu.Nikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
Unaanza Kuattack aliye andika sio aliye ongeaHio si kaandika Mkenya.
[emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa tunae miaka mitano tena
Mwenyezi Mungu tuonee huruma mchukue mjaa wako [emoji24][emoji27]
Siku za nyuma ulikuwa unajitambulisha kama nani? Ukiwa mzamiaji haramu kama ulivyo ni kawaida huwezi kujitambulisha kama Mtanzania kuhofia kukamatwa na kurudishwa huku bila nguo. Jiite tu Mmarekani mweusi au jina lako la usanii la M-mbabe kama unavyotambulika hapaNikiwa nchi za wenzetu siku hizi mwenzenu huwaga sijitambulishagi kama Mtanzania. Ni aibu!!
Ni vyema ungevua hilo koti la ujinga ulilovaa ili uweze kuchangia mada hii kuhusu maisha yetu na hatma ya ugonjwa huu nchini mwetu.Siku za nyuma ulikuwa unajitambulisha kama nani? Ukiwa mzamiaji haramu kama ulivyo ni kawaida huwezi kujitambulisha kama Mtanzania kuhofia kukamatwa na kurudishwa huku bila nguo. Jiite tu Mmarekani mweusi au jina lako la usanii la M-mbabe kama unavyotambulika hapa