Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

Unadai kwamba haiwezekani kuwa na chanjo ya kansa kwa kuwa kansa si ugonjwa wa kuambikiza. Mbona kuna chanjo ya polio ambalo nalo siyo tatizo la kuambukiza?
 
Oyaaa Furahin.

Kwakua shida ya kupumua imeanza kuwala na Madaktari[emoji23]

Kuna DMO kasepa jana,
JANA KAFA KAFA KWA SHIDA YA KUPUMUA.


tunaelekea mahali pazur ngoja ichanganye kwanza, kuna watu wataanza kuongea ukweli nakutubu[emoji23]

Kufa kupo tu. Tukijifungia ndani ndio kabisa tutakufa kwa njaa bab
 
Kujitambulisha kama Mtanzania huko majuu kwa sasa hivi ni embarrassment!
 
Mbona sasa wengine wanasema huu ugonjwa tuliweza kuudhibiti mwaka jana? mfano kwenye waraka wa juzi wa baraza la maaskofu katoliki wao wanasema tulifanikiwa kudhibiti corona mwaka jana. Sasa wewe mkuu unasema watu wanateketea mnakuwa mnanichanganya.
 
kinamuweka Magufuli katika mtazamo hasi kwani kuongelea chanjo ya cancer ni jambo la kushangaza ukizingatia cancer sio ugonjwa wa kuambukiza au unaosababishwa na vimelea vya maradhi (pathogens).
Lete chanzo!

Sakanya internet yote uniwekee hapa kauli inayosema saratani haisababishwi na vimelea vya maradhi...
 
Nadhani hata zile chanjo zingine nazo pia zitakuja. Za malaria, cancer, TB, HIV..... si zipo
 
Kile unachoona kuwa ni kinyume katika haya majibu uliyoyaandika hapa juu, ndiyo jibu sahihi. Ulishwawahi kukuta watu wanazima moto mkubwa sana kwa kutumia moto mwingine mdogo? Huwa wanaangalia moto unakoelekea, halafu wanakimbia mbele umbali fulani ,wanaenda kuwasha moto mwingine mdogo huko na kuanza kuuzima. Fikiria sasa moto mkubwa ukishafika sehemu hiyo palipokuwa pamewashwa moto mdogo halafu moto huo mdogo ukiwa tayari umeshazimwa, what happens? Huu utaratibu wa kuzima moto namna hii ni kama uko kinyume kwa sababu katika fikra za kawaida, mtu hawezi kufikiria kwamba moto mkubwa unazimwa kirahisi kwa kuwasha moto mwingine!
Kinga kubwa kabisa ya Corona kwa sasa ni kuendelea kufuata mashariti ya wataalamu wa afya pamoja na kuwaweka watu sawa kisaikolojia kwa kuepusha matangazo ya kipumbavu yanayoweza kuwasababisha wakataharuki. Hii ni pamoja na kukwepa vitu kama lockdown.
 
My friend better return the money you have obtained by 'conning' from those 'vaccine money monger' for so called lobbying!! Our current and future generations existance are not debatable! We will defeat any threat towards our generation with reliable means, which we are sure of their safe 'constituents'

Are you aware that those guys have come with two strain covid virus?


Yet, you think as if you have enough exposure on the subject matter of 'lecturing' the conscious audience!
 
Mwanaume n kuwa na msimamo, siku zote nipo upende wake coz anamsimamo na anachokiamin, hii n vita ya kiuchumi via biology, msije mkaletewa chanjo mkazaa vitoto havina akili ili waje wachukue malighafi kilain, 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…