Gazeti ya Guardian la UK latoa nyimbo kumi bora za Africa mwaka 2016, mtanzania ashika nafasi ya 2

Uncondionational bae SIYO MTANZANIA HUYO EEH? Mitimu hii

Remember neno bae ni moja ya maneno yaliyotafutwa sana mtandaoni na watanzania, siyo wakenya, so you know the role of king kiba in this
nilikuwa natafuta comment yako
 
Uncondionational bae SIYO MTANZANIA HUYO EEH? Mitimu hii

Remember neno bae ni moja ya maneno yaliyotafutwa sana mtandaoni na watanzania, siyo wakenya, so you know the role of king kiba in this

Mkuu umebeba tope uko kichwani.
 
Kwa heshima na taadhima naombs nikwambie si kweli..

Huo wimbo ameshirikishw sio wimbo wa pamoja!
Eidha haujui au unajipotosha makusudi..

Wimbo pekee wa pamoja aliotoa kiba this year ni kajiandae alioimba na dimpoz..
 
Acha zako hizo wewe,mambo ya k/koo tuachie wa k/koo.

Unconditionally bae ni wimbo wa pamoja wa Sauti Sol na Ali Kiba.
Period [emoji6]
 
Babes, seriously?? [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Aisee watoto wa kariakoo wacha niwape tuzo ya heshima fitna zenu zimefikia kiwango cha "standard gauge"..
Khaaaaaa inamaana hamjui kuwa wimbo ni Diamond platnumz featuring Rayvany??? Au mnafanya kusudi tu..

Wacha basi niwadediketia kibwagizo hiki;

[emoji444] wenye wivu wajinyonge sanaaaa, wenye wivu wajinyongeeee,
Wenye wivu wajinyonge kweliiii, wenye wivu wajinyongeeee
Kariako wanakodoa kodooooo, wanakodoaaaa
Madale tukisongaaaa, wanakodoa kodooooo, wanakodoaaa [emoji445] [emoji444]

[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

# WCB # WinnersCycle
 
Acha zako hizo wewe,mambo ya k/koo tuachie wa k/koo.

Unconditionally bae ni wimbo wa pamoja wa Sauti Sol na Ali Kiba.
Period [emoji6]
Sasa mbona ukitizama video (achana na title ya YouTube) video yenyewe inavyoanza imeandikwa "Sauti Sol featuring Ali kiba" ????

Why?? Ni wimbo wa kashirikishwa bhana acheni kufosi [emoji23] [emoji23]
 
Kwa heshima na taadhima naombs nikwambie si kweli..

Huo wimbo ameshirikishw sio wimbo wa pamoja!
Eidha haujui au unajipotosha makusudi..

Wimbo pekee wa pamoja aliotoa kiba this year ni kajiandae alioimba na dimpoz..
Umesema hivi kwa sababu umeamua kusema au Umesema hivi kwa mujibu wao wenyewe?!

Nikuulize unajua kwanini Ali haku-post kitu chochote kwenye mitandao yake ya kijamii baada ya ule wimbo kutoka ni Sauti Sol Peke yao waliokuwa wanapiga promo kwenye mitandao we unajua kwanini ilikuwa vile?!

Punguza chuki mkuu azikupi faida yoyote
 
Wimbo uñe ni wa sauti sol ndio mana hata gazeti limesema wimbo wa bongofleva ni mmoja tu salome
 
Hebu angalia huu mkanganyiko
halafu nipe jibu

Wakenya ni wajanja wajanja kama Team Madale kila kitu kizuri wataka kiwe Chao.

Soma hapa.

Sauti Sol (Kenya) and Alikiba (Tanzania) release UNCONDITIONALLY BAE,a danceable love ballad.In the song,Sauti Sol and Alikiba sing about the difficulty of finding love in the modern day world.The music video is poised to unite fans across East Africa and Africa at large,through dance and its strong message. [HASHTAG]#SautiSolAlikiba[/HASHTAG]
[HASHTAG]#UnconditionallyBae[/HASHTAG]
Shot in Kenya’s beautiful North Coast of Mombasa at the English Point Marina,the official video of UNCONDITIONALLY BAE has been shot by the super talented South African video director Justin Campos of
Gorilla Films.
Written by Sauti Sol and Alikiba
Produced by Sauti Sol
Styling: Benie Amandine (Casa Dalhia)

Hayo ni maelezo ya hiyo ngoma kule YouTube.
So akili kumkichwa.
 
Acha zako hizo wewe,mambo ya k/koo tuachie wa k/koo.

Unconditionally bae ni wimbo wa pamoja wa Sauti Sol na Ali Kiba.
Period [emoji6]
Nahisi, damu za mwezini zimekuchanganya
 
Holl up ya Mr eazi imestahili sana top 3 mwaka huu.
-Hongera sana Diamond platnumz
 
Mkuu mimi ninachojua ukiiangalia video mwanzoni kabisa maandishi ya kutambulisha nyimbo yanasema "Sauti Sol featuring Ali Kiba..

Hayo mambo ya kupost na kutopost wanajuana wenyewe! Ila ninachojua Kiba alipost na mpaka link ya YouTube aliweka pale juu kwenye Bio yake ya Instagram..

Ninachojua video kabla haijatoka inaridhiwa kwanza na menejiment zote mbili, kama marekebisho yanafanyika kabka video haijatoka.. So kama management ya Ali kiba iliridhia hivyo na wajaupromote wimbo that means ukweli ndio huo, ameshirikishwa..

Hata ukipigwa kwenye TV yeyote inaandikwaga hivyo kama ilivgoandikwa ndani kwenye video... Sauti Sol Featuring Ali kiba

Hiyo sio chuki, that is a fact mkuu..
 
Hebu angalia huu mkanganyiko
halafu nipe jibu

Wakuu nimepitia maelezo ya kwenye hiyo video vizuri na nilicho elewa huwo wimbo ni wa pamoja aliye chukuwa hiyo video ndio kachanganya kwenye kuingiza hayo maneno pitieni maelezo vizuri hapo chini[emoji116]
 
Simbaaa wAtu weeeweeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…