Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaa wali?Toka 61 sijui ya magu,Maza anagonga kazi,miaka miwili tu $17b
Oya umelewa!?Ahaaa wali?
Magu kaacha GDP ngapi!?Sikweli@inamankusweke
Yaani Jeff Bezzos ana hela almost 3x ya GDP ya bongo. Kweli this world is not fair.
Eeh,si ukienda kkoo hudai risiti ili upunguziwe beiYaani Jeff Bezzos ana hela almost 3x ya GDP ya bongo. Kweli this world is not fair.
Tukilipa kodi zinaliwa bora kufanya hivyoEeh,si ukienda kkoo hudai risiti ili upunguziwe bei
Maza anaitafuna vizuri nchi na genge lake🤣🤣🤣 tufanye kazi kwa bidii na kulipa Kodi,ili wasafiri daily na msafara kwenda uguaibuni siyo?bwahahahah
Serikali imejaa viongozi majangili tupuNikifikiria hii mifumo PEPMIS, NeST MUSE. aisee kama nchi bado tunasafari ndefu sana.
1. Watumishi wanatumia muda mwingi kuingiza kwenye mfumo taarifa zao za utendaji kazi badala ya kufanya kazi
2. Mfumo wa manunuzi ya tender hauko compatible, watumishi wa manunuzi wanalalamika mfumo kuwa mzito na hivyo shughuli za manunuzi zinaenda taratibu sana (ujenzi, ununuzi wa bidhaa na matengenezo)
3. Mfumo wa ulipaji wa fedha nao ni majanga matupu, malipo yanachelewa.
Kwakweli, serikali isipo angalia, hiyo mifumo inaturudisha nyuma kwa kasi.
Zinaliwa na genge la watu wachacheTukilipa kodi zinaliwa bora kufanya hivyo