GDP ni wastani wa thamani ya uzalishaji wa taifa Kwa mwaka, Mr Bezos' net worth ni thamani ya biashara na asset zake minus liabilities Kwa ujumla, hii haimaanishi kwamba kila mwaka Bezos anatengeneza dollar Bilioni 200 hapana. Unaweza kuwa billionaire lakini ukazalisha hasara tupu ndani ya mwaka au ukatengeneza a few millions. Ila on average billionaire kama yeye anaweza cheza kwenye 100s of millions kama faida, which is a far cry from the GDP generated by Tanzania which is in billions. Inabidi uwe trilionaire ili kuweza kumake 80 billion dollars Kwa mwaka mzee.