GDP ya Tanzania ni Dolla Billioni 86 tuendelee kuongeza bidii ya kufanya kazi

Nikifikiria hii mifumo PEPMIS, NeST MUSE. aisee kama nchi bado tunasafari ndefu sana.

1. Watumishi wanatumia muda mwingi kuingiza kwenye mfumo taarifa zao za utendaji kazi badala ya kufanya kazi

2. Mfumo wa manunuzi ya tender hauko compatible, watumishi wa manunuzi wanalalamika mfumo kuwa mzito na hivyo shughuli za manunuzi zinaenda taratibu sana (ujenzi, ununuzi wa bidhaa na matengenezo)

3. Mfumo wa ulipaji wa fedha nao ni majanga matupu, malipo yanachelewa.

Kwakweli, serikali isipo angalia, hiyo mifumo inaturudisha nyuma kwa kasi.
 
Serikali imejaa viongozi majangili tupu
 
wakubwa wote wapo kwenye biashara ya kuagiza vitenge, sukari, nguo nk. mtapata wapi pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…