Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
🤣🤣🤣🤣Inawezekana mkewe huyo hakumpa faraja baada ya hayo majibu,si unajua tena wake zetu hawa.
Inawezekana alimshushua ,ukome na umalaya wako mwaka huu utajibeba kwa raha zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Inawezekana mkewe huyo hakumpa faraja baada ya hayo majibu,si unajua tena wake zetu hawa.
Inawezekana alimshushua ,ukome na umalaya wako mwaka huu utajibeba kwa raha zako.
Na pengine yeye huyo marehemu ndy chanzo cha kulazimisha kupima.Mkazi wa Nyantorotoro mkoani Geita, Shija Mwanzalima (30) amemjeruhi kwa kumchoma kisu tumboni mwanae wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu kisha kujiua kwa kujinyonga.
Kamanda wa polisi mkoani Geita, Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea mwishoni mwa wiki nyumbani kwa mama wa mtoto huyo Nyantorotoro.
Mwaibambe amesema chanzo cha tukio hilo ni msongo wa mawazo baada ya mwanaume huyo pamoja na mkewe kwenda hospitali kupima afya na kuonekana ameathirika huku mkewe akiwa mzima licha ya kuishi pamoja.
Amesema baada ya majibu walirudi nyumbani na kumtuma mkewe dukani kununua dawa na kisha yeye kufanya unyama huo. Kwa mujibu wa kamanda mtoto alipata majeraha makubwa na amelazwa kwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Geita.
Kamanda ameishauri jamii kutatua matatizo ya kifamilia kwa njia ya majadiliano badala ya kuchukua maamuzi ambayo ni dhambi na ni kinyume na haki za binadamu.
Mwananchi
Wasukuma tabia hii wameanza leo.Mkazi wa Nyantorotoro mkoani Geita, Shija Mwanzalima (30) amemjeruhi kwa kumchoma kisu tumboni mwanae wa kambo mwenye umri wa miaka mitatu kisha kujiua kwa kujinyonga.
Kamanda wa polisi mkoani Geita, Henry Mwaibambe amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema limetokea mwishoni mwa wiki nyumbani kwa mama wa mtoto huyo Nyantorotoro.
Mwaibambe amesema chanzo cha tukio hilo ni msongo wa mawazo baada ya mwanaume huyo pamoja na mkewe kwenda hospitali kupima afya na kuonekana ameathirika huku mkewe akiwa mzima licha ya kuishi pamoja.
Amesema baada ya majibu walirudi nyumbani na kumtuma mkewe dukani kununua dawa na kisha yeye kufanya unyama huo. Kwa mujibu wa kamanda mtoto alipata majeraha makubwa na amelazwa kwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Geita.
Kamanda ameishauri jamii kutatua matatizo ya kifamilia kwa njia ya majadiliano badala ya kuchukua maamuzi ambayo ni dhambi na ni kinyume na haki za binadamu.
Mwananchi
Labda..yawezekana..Inawezekana mkewe huyo hakumpa faraja baada ya hayo majibu,si unajua tena wake zetu hawa.
Inawezekana alimshushua ,ukome na umalaya wako mwaka huu utajibeba kwa raha zako.
Nahisi hivyo mkuu,kuna wakati niliingia biashara Fulani nikapigwa na wajanja kama m hvi,dah nikamshirikisha wife ila dah nilijawa na uchungu ila sikupata faraja nikaonekana nimekula na malaya.Labda..yawezekana..
Wala asisingiziwe mkeweInawezekana mkewe huyo hakumpa faraja baada ya hayo majibu,si unajua tena wake zetu hawa.
Inawezekana alimshushua ,ukome na umalaya wako mwaka huu utajibeba kwa raha zako.
Kama anakujua ni mwingi wa kuchepuka kukuamini ni ngumu sana.Nahisi hivyo mkuu,kuna wakati niliingia biashara Fulani nikapigwa na wajanja kama m hvi,dah nikamshirikisha wife ila dah nilijawa na uchungu ila sikupata faraja nikaonekana nimekula na malaya.
OK sawa,ila Huyo mwamba atakuwa aliingiza upepo balaa,mpaka kumkita be to mtoto.Wala asisingiziwe mkewe
Tena upepo wa hovyo kweliOK sawa,ila Huyo mwamba atakuwa aliingiza upepo balaa,mpaka kumkita be to mtoto.
Pole sana..lakini kusije kukawa kuna kahistoria fulani way back...yaani aanze tu kukurushia maneno ya kimo hicho? Au saa nyingine mnakosea padogo tu kwa kumshirikisha tayari mambo yakiwa yashakorogeka. Information angekuwa nayo hatua kwa hatua labda asingeyatamka hayo.Nahisi hivyo mkuu,kuna wakati niliingia biashara Fulani nikapigwa na wajanja kama m hvi,dah nikamshirikisha wife ila dah nilijawa na uchungu ila sikupata faraja nikaonekana nimekula na malaya.