Uchaguzi 2020 GEITA: Dkt. Magufuli awataka wasichague Viongozi wa majaribio

Nawaza tu ikatokea meza ikapinduliwa na Chadema ikawa chama tawala sijui sura za wanaotetea na kuunga mkono juhudi wataziweka wapi, tujifunze kuwa na akiba ya maneno wakuu.
 
Siishi kwa dada ndiyo maana nachukia shida, wewe kula kulala anayepata maumivu ni dada ako
Ungechukia shida usingeishi hapo kwa dada yako Joyce!

Nyie ndio mnafilisi ruzuku ya Ufipa kulisha michepuko na wewe umo humohumo!
 
Hoji kwanza CCM wakusomee mapato na matumizi, ruzuku kwa mwenzi 2B, viwanja vya michezo kwa mwenzi 1B, michango ya wanachama na marafiki 1B plus maeneo ya biashara(vitaga uchumi) 2B = 6B kwa mwezi x 12 = 72 x 6 432B kwa miaka 5, tuanzie hapa wewe kilaza
 
Mwakani Chadema haina ruzuku itabidi umsaidie dada kuuza hizo sweta za Chadema maana hata kule kwa shemeji Ole sabaya kakaza kamba!
 
Kisukuma ni lugha ya kanda ya ziwa kama ilivyokuwa kiswahili ni lugha ya kanda ya Pwani.

Kisukuma siyo lugha ya kabila......kikabila ni kama vile kimarangu, kirombo, kimachame, kinyantunzu, kizaramo, kingindo, kindengereko nk....nk...bwashee!
Mmh! Kwahiyo ruksa kisukuma kutumika kwenye hadhara?
 
Nawaza tu ikatokea meza ikapinduliwa na cdm ikawa chama tawala sijui sura za wanaotetea na kuunga mkono juhudi wataziweka wapi, tujifunze kuwa na akiba ya maneno wakuu.
Chama "tawala" ambacho kinaelea juu akina tawi wala mizizi?
 
Kisukuma ni lugha ya kanda ya ziwa kama ilivyokuwa kiswahili ni lugha ya kanda ya Pwani.

Kisukuma siyo lugha ya kabila......kikabila ni kama vile kimarangu, kirombo, kimachame, kinyantunzu, kizaramo, kingindo, kindengereko nk....nk...bwashee!
Mmh! Kwahiyo ruksa kisukuma kutumika kwenye hadhara?
 
Hakuna kitu kama hicho waliokwambia walikudanganya , Njia nzuri ya kupambana na adui cha Kwanza kubali uwezo wake alaf utafte udhaifu wake upitie hapo, CCM inatambua uwezo wa Chadema na inatambua udhaifu wao , na ndo mana Kwa miaka mitano wamepambana na Chadema kufa na kupona, miez hii miwili ya kampeni wanasuuuza tuu , mitambo yote imetegeshwa kuleta ushindi,..
Mkuu Slowly ulichokiongea ni sahihi na ndio hali halisi iliyopo isipokuwa watabisha tu kwa sababu ni wabishi
 
Na huko wanafunzi wameahirishiwa masomo? Mwanza kulikuwa na mafuriko ya wanafunzi uwanja wa Furahisha. Wahudhuriaji wa mkutano, zaidi ya 60% walikuwa watoto (wanafunzi).
Kwa tunaomuamini Yesu Kristo anasema; "Waacheni watoto waje kwangu kwa maana Ufalme wa Mbingu ni wao". CCM ni nani kuwakataa watoto?
 
Back
Top Bottom